• Nairobi
  • Last Updated May 1st, 2024 10:08 PM

Serikali ya kaunti ya Kwale yaweka mikakati kufungua biashara

Na WINNIE ATIENO SERIKALI ya Kaunti ya Kwale imeanza kuweka mikakati kabambe ya kufungua biashara na shughuli nyingine za uzalishaji...

Jinsi ufadhili wa Mombasa Maize Millers unavyofanikisha Taifa Ngano Super Cup

Na ABDULRAHMAN SHERIFF UKOSEFU wa udhamini umekuwa sababu kubwa ya kuzorota kwa soka Pwani na kidonda ambacho klabu na viongozi wa soka...

KURUNZI YA PWANI: Elungata aelezea Wapwani haja ya kushirikiana na maafisa maeneo mpakani yasalie salama

Na WINNIE ATIENO MSHIRIKISHI wa eneo la Pwani Bw John Elungata na afisa wa uhamiaji Bi Jane Nyandoro wamewaonya wakazi wanaoishi...

Mvurya abainisha mpango wake Kwale kukabili Covid-19

Na WINNIE ATIENO GAVANA wa Kaunti ya Kwale Salim Mvurya amesema madereva 11 ambao sampuli zao zilichukuliwa na vipimo vikabainisha wana...

Jamii za maeneo ya mipakani zatakiwa zikumbatie Nyumba Kumi kukabili Covid-19

Na SAMMY WAWERU WIZARA ya Afya Alhamisi imethibitisha visa vipya 21 vya Covid-19, idadi jumla nchini Kenya ikifika 758. Kati ya...

COVID-19: Kamishna asisitizia wakazi haja ya kutoruhusu wageni kaunti ya Kwale

Na MISHI GONGO KAMISHNA wa Kaunti ya Kwale Bw Karuku Ngumo amewaomba wazee wa mtaa na wale wa mpango wa Nyumba Kumi wawe macho...

Kwale kusimamia bandari ya Shimoni

Na FADHILI FREDRICK KAUNTI ya Kwale imekuwa ya kwanza kunufaika na ahadi za Rais Uhuru Kenyatta kwa viongozi wa Pwani, baada ya...

Mwaka mmoja baada ya Wamakonde kutambuliwa, bado ni kilio

KAZUNGU SAMUEL na FADHILI FREDRICK Kwa ufupi: Wamakonde walifika katika kaunti ya Kwale miaka michache baada ya Kenya kujinyakulia...

Mkutano wapangwa kuunganisha viongozi wa Pwani

[caption id="attachment_3524" align="aligncenter" width="800"] Waziri msaidizi wa Wizara ya Ardhi, Bw Gideon Mung’aro. Picha/...

Wanafunzi 400 wenye funza wanufaika

Na FADHILI FREDRICK WANAFUNZI 400 kutoka shule za msingi za Kilole na Zigira wamenufaika na mradi wa kupambana na funza uliozinduliwa na...