• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 11:33 PM

Tisho la baa la njaa kutokana na ukosefu wa maji Lamu

NA KALUME KAZUNGU UHABA wa maji unaokumba vijiji vingi vya kaunti ya Lamu umewasukuma wakazi wengi kulala njaa katika wiki za hivi...

Yaibuka uwanja wa ndege hutegemea vibuyu kuchota maji

Na KALUME KAZUNGU WAFANYAKAZI katika uwanja wa ndege wa Manda, Kaunti ya Lamu hulazimika kuchota maji kwa vibuyu kutoka visimani kwa...

Bomba lililochakaa lasababisha uhaba wa maji Pwani

Na WINNIE ATIENO TATIZO la uhaba wa maji unaokumba maelfu ya wakazi wa Pwani kila mara, husababishwa na kutegemea bomba lililojengwa...

Wakazi wa Kilifi walalamika kutembea kilomita 10 kutafuta maji

MAUREEN ONGALA na ANTHONY KITIMO WAKAZI wa Kaunti ya Kilifi wanalalamika kwamba wanaendelea kutozwa pesa na Kampuni ya Maji ya Mariakani...

Ukosefu wa maji Eastleigh wapandisha bei hadi Sh50 kwa mtungi

Na PETER CHANGTOEK UKOSEFU wa katika mitaa mingi jijini Nairobi, umekuwa ukiwatatiza mno wakazi wa mitaa husika. Watu wengi wamekuwa...

Afueni kwa wakulima wa Laikipia mradi wa uchimbaji wa mabwawa ukianza

Na SAMMY WAWERU Zaidi ya wakulima 500 Laikipia wanatarajia kunufaika kufuatia mradi wa uchimbaji wa mabwawa ya kuvuna maji kupitia...

Afisa wa serikali apondwa kutangatanga akijipigia debe kwa miradi ya maji

  NA MWANGI MUIRURI KATIBU katika Wizara ya Maji Joseph Wairagu ameteswa na wanasiasa katika Kaunti ya Murang’a kwa madai ya...

Sato Tap, ubunifu wa kisasa wa kunawa mikono

NA MWANDISHI WETU Sato, biashara ya kijamii ya Kikundi cha LIXIL kutoka Japan ambayo inakusudia kutatua shida za maji, usafi wa...

Kaunti kusambazia wakazi wa vitongojini maji

Na WINNIE ATIENO SERIKALI ya Kaunti ya Mombasa imeanza kuweka mikakati kusambaza maji vitongojini ili kuimarisha afya za wakazi wa...

Shule za msingi Thika zapata matangi ya maji

Na LAWRENCE ONGARO SHULE za msingi mjini Thika zimenufaika kwa kupata matangi ya maji ili kukabiliana na janga la Covid-19. Mbunge wa...

Maji ya Bahari Hindi yafurika na kuenea katika makazi Lamu

Na KALUME KAZUNGU NYUMBA nyingi zilizojengwa karibu na ufuo wa Bahari Hindi katika mji wa kale wa Lamu hazikaliki baada ya maji ya...

UHABA: Foleni ndefu wachukuzi wenye mikokoteni wakitafuta maji mtaani Kariobangi South Civil Servants

Na GEOFFREY ANENE SI kawaida kuona mamia ya mahamali kufika mtaani Kariobangi South Civil Servants kwa siku moja. Hata hivyo, mambo...