• Nairobi
  • Last Updated May 17th, 2024 12:48 PM

MALEZI KIDIJITALI: Teknolojia inajenga na kuumbua familia vilevile

TEKNOLOJIA inatawala kila sehemu ya maisha katika karne hii na wazazi wasiokubali au kujiandaa wanaweza kuathiri malezi ya watoto wao na...

MALEZI KIDIJITALI: Kumkinga na hatari ibuka za mtandao

NA BENSON MATHEKA USISUBIRI hadi mtoto wako atumbukie kwenye hatari mtandaoni ndipo umfunze jinsi ya kujikinga. Wazazi wanaofanya...

MALEZI KIDIJITALI: Daima kinga yashinda tiba!

NA BENSON MATHEKA JUKUMU kubwa la mzazi enzi hizi za dijitali ni kudhibiti matumizi ya vifaabebe vya watoto wake. Wataalamu wa malezi...

MALEZI KIDIJITALI: Kuwakinga wasichana matineja mtandaoni

MTANDAO unaweza kusababishia wasichana matineja mfadhaiko na wasiwasi sawa na watoto wa umri mdogo pamoja na kuwatumbukiza kwenye hatari...

MALEZI KIDIJITALI: Mwongoze kwa vitendo kutumia mitandao

VITENDO vya wazazi ni muhimu kwa kujenga hisia na tabia za watoto wao kuhusu teknolojia. Watoto huwa wanaiga jinsi wazazi wanavyotumia...

MALEZI KIDIJITALI: Mbinu za kudhibiti vifaabebe

MATUMIZI ya mitandao ya kijamii yanaongezeka na madhara yake kwa watoto yanaendelea kubainika. Hata hivyo watalaamu wa malezi dijitali...

MALEZI KIDIJITALI: Muda kwa mitandao usipite saa 1 kwa siku

Na PAULINE ONGAJI WAZAZI wengi wamekuwa wakiachilia watoto wao kutazama runinga, kudurusu mtandao, kucheza michezo ya video au kutumia...

MALEZI KIDIJITALI: Wazazi wawe mfano mzuri wa vifaabebe!

Na BENSON MATHEKA ENZI hizi ambazo mawasiliano yamerahisishwa kwa sababu ya upatikanaji wa simu za mikono, wazazi wanafaa kuwa makini...

MALEZI KIDIJITALI: Je, kuwapa watoto uhuru ni kuwaharibu?

Na BENSON MATHEKA KASUNI na mkewe Ivy wamelaumiwa na wazazi wenzao kwa kuwapa watoto wao wawili uhuru wa kufanya watakalo. Baadhi...