• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 8:22 PM

Ngilu kusambaza barakoa bila malipo kwa wanafunzi 72,000

Na KITAVI MUTUA WANAFUNZI 72,000 katika Kaunti ya Kitui watanufaika na barakoa za bure kutoka kwa serikali ya kaunti. Gavana Charity...

Milioni 1.5 wameambukizwa corona Afrika – kituo chaeleza

Na XINHUA ADDIS ABABA, Ethiopia IDADI ya visa vya watu waliothibitishwa kuwa na virusi vya corona barani Afrika imefikia milioni 1.5,...

Wasiwasi barakoa zilizotumika zikiendelea kutupwa ovyo

Na SAMMY WAWERU Serikali imeeleza wasiwasi wake kuhusu utupaji kiholela maski zilizotumika ikisema utepetevu huo unatia watu katika...

Wanaoteremsha maski kwa kidevu washtakiwe, asema gavana

Na SAMMY WAWERU Ni jambo la kushangaza kuona mtu akiwa na maski na kuining’iniza chini ya kidevu badala ya kuivalia...

‘Wanaume wanapuuza kuvalia maski’

Na SAMMY WAWERU IDADI kubwa ya watu wasiovalia maski nchini ni wanaume, amesema Waziri wa Afya Mutahi Kagwe. Bw Kagwe Alhamisi...

Wazee wavalie barakoa aina ya N95, WHO yashauri

CHARLES WASONGA na SAMMY WAWERU SHIRIKA la Afya Ulimwenguni (WHO) limependekeza kuwa wazee wenye umri wa miaka 60 kwenda juu na watu...

Wasio na uwezo kusikia kutumia maski spesheli kusoma midomo ya wazungumzaji

Na MISHI GONGO WALEMAVU wasio na uwezo wa kusikia katika Kaunti ya Mombasa wamepokea maski spesheli kutoka kwa Muungano wa Watu...