Tag: matiang’i
- by adminleo
- September 1st, 2019
Matiang’i azimwa kumtawaza chifu aliyepata ‘D’ kwa KCSE
Na Richard Munguti WAZIRI wa Usalama, Dkt Fred Matiang’i, ameagizwa na Mahakama Kuu asitishe uteuzi wa Chifu wa Lokesheni ya Sarmani...
- by adminleo
- August 30th, 2019
Huenda Raila akasema ‘Matiang’i tosha 2022’
Na RUTH MBULA na CHARLES WASONGA ALIYEKUWA Waziri Mkuu Raila Odinga amedokeza Ijumaa kuwa huenda akamwidhinisha Waziri wa Usalama wa...
- by adminleo
- August 25th, 2019
Matiang’i na Kibicho mwiba kwa Naibu Rais
Na BENSON MATHEKA HATUA ya Rais Uhuru Kenyatta ya kumuongezea mamlaka Waziri wa Usalama wa Ndani, Fred Matiang’i na katibu wa wizara...
- by adminleo
- August 15th, 2019
Matiang’i atabomoa mafia wa mihadarati?
Na VALENTINE OBARA WAZIRI wa Usalama wa Nchi, Dkt Fred Matiang’i anakabiliwa na moja ya vita vikali zaidi tangu alipoteuliwa waziri...
- by adminleo
- August 12th, 2019
Matiang’i atangaza vita dhidi ya mihadarati
MOHAMMED AHMED NA MISHI GONGO WAZIRI wa Usalama wa Nchi, Dkt Fred Matiang’i ameanzisha upya vita dhidi ya dawa za kulevya katika Pwani...
- by adminleo
- August 6th, 2019
TAHARIRI: Wapi Matiang’i matatu zikituua?
NA MHARIRI WAZIRI wa Usalama wa Ndani, Dkt Fred Matiang’i anaonekana kuanza kulemewa na majukumu yake, tangu alipopewa mamlaka ya...
- by adminleo
- July 31st, 2019
Shule 332 za udereva kufungwa kote nchini
Na WANDERI KAMAU VITUO 332 vya kutoa mafunzo ya udereva nchini vitafungwa kwa kutotimiza kanuni zinazohitajika, Waziri wa Usalama wa...
- by adminleo
- July 27th, 2019
Matiang’i akaribishwa Migori kishujaa
Na RUTH MBULA , JOSIAH ODANGA na IAN BYRON WAZIRI wa Usalama wa Ndani, Fred Matiang’i alipokewa Jumamosi kishujaa alipozuru eneo la...
- by adminleo
- July 7th, 2019
JAMVI: Abagusii hatimaye wapata kigogo awaongoze kisiasa
Na VALENTINE OBARA BAADA ya kukaa miaka mingi bila kigogo mahiri wa kuwaongoza kisiasa, jamii ya Wakisii sasa imeweka matumaini yao kwa...
- by adminleo
- June 12th, 2019
Sitaogopa kuwakamata wanasiasa wachochezi – Matiang’i
ERIC MATARA na GEOFFREY ONDIEKI WAZIRI wa Usalama, Fred Matiang’i amewaonya wanasiasa wanaotoa matamishi ya uchochezi yanayolenga...
- by adminleo
- June 12th, 2019
Matiang’i akutana na jamii za Pokot na Marakwet, azindua eCitizen Nakuru
NA RICHARD MAOSI Waziri wa Usalama wa Ndani Dkt Fred Matiang'i Jumatano aliandaa mkutano wa dharura na jamii ya Wapokot na Marakwet,...
- by adminleo
- June 8th, 2019
Joho, Matiang’i tiketi tosha?
Na CHARLES LWANGA BAADHI ya wabunge wa kutoka Kaunti za Pwani wamejitenga na wito wa kumuidhinisha Gavana wa Mombasa, Bw Hassan Joho...