Tag: mimba
- by adminleo
- July 4th, 2020
MIMBA ZA MAPEMA: Jinsi ‘usasa’ ulivyoharibu makuza mema
Na MISHI GONGO JUNI 2020 Wakenya walikumbwa na hali ya wásiwasi kufuatia nchi kuandikisha idadi kubwa ya matineja kupata...
- by adminleo
- July 1st, 2020
Zaidi ya wasichana 5000 watungwa mimba Meru
DAVID MUCHUI na FAUSTINE NGILA Wasichana 170 wenye umri wa kati ya miaka 10 na 14 wamepata uja uzito kaunti ya Meru kati ya Januari na...
- by adminleo
- June 29th, 2020
Visa vya akina mama kulipwa miraa mabinti wakilala na wazee vyaripotiwa Lamu
Na KALUME KAZUNGU BAADHI ya akina mama kwenye vijiji vingi vya Waboni, Kaunti ya Lamu wamelaumiwa kwa kushawishika kulipwa miraa na...
- by adminleo
- June 23rd, 2020
Serikali yakiri corona inachangia mimba za mapema
Na JUMA NAMLOLA SERIKALI inafuatilia kwa karibu ripoti kuhusu mimba za mapema miongoni mwa watoto wa kike. Waziri msaidizi wa Wizara...
- by adminleo
- June 18th, 2020
Msipuuze takwimu za mimba za wasichana – Serikali
Na MWANDISHI WETU SERIKALI Kuu imesema takwimu zilizoonyesha kuwa wasichana wadogo takriban 4,000 walitungwa mimba katika Kaunti ya...
- by adminleo
- June 18th, 2020
Vilio watoto 4,000 wakipachikwa mimba Machakos
Na LILLIAN MUTAVI TAIFA Jumatano lilipigwa na bumbuwazi ilipofichuka kuwa kuna wasichana wadogo takriban 4,000 ambao wameshika mimba...
- by adminleo
- June 17th, 2020
Wasichana 28 hupachikwa mimba kila siku Machakos – Utafiti
NA MWANDISHI WETU Zaidi ya wasichana 28 hupata ujauzito kila siku katika kipindi cha miezi mitano iliyopita Kaunti ya Machakos kulingana...
- by adminleo
- June 1st, 2020
AFYA: Hatua za kumsaidia mjamzito kupunguza kichefuchefu
Na MARGARET MAINA [email protected] MIEZI mitatu ya kwanza ya ujauzito, ni muda wa mabadiliko mbalimbali kimwili na...
- by adminleo
- February 27th, 2020
Tunahitaji mdahalo kung’amua mimba ya mapema ilipoanzia – Ole Kina
Na DIANA MUTHEU VIONGOZI wameomba vijana wapewe elimu kuhusu maswala ya uzazi ili waweze kujiepusha kupata mimba za...
- by adminleo
- October 15th, 2019
California yaamrisha vyuo vya umma kuruhusu uavyaji mimba
Na AFP CALIFORNIA, Amerika CALIFORNIA ndilo eneo la kwanza kuamrisha vyuo vikuu vyote vya umma kutoa matibabu ya uavyaji mimba, hatua...
- by adminleo
- August 28th, 2019
SEKTA YA ELIMU: Mwongozo huu mpya utapiga jeki masomo ya mtoto wa kike
Na CHARLES WASONGA VISA vya wanafunzi wa kike kukatiza masomo yao baada ya kupachikwa mimba ni baadhi ya changamoto zinazokumba azma ya...
- by adminleo
- July 2nd, 2019
Wanawake wajidunge sindano wenyewe kuzuia mimba – WHO
Na VALENTINE OBARA WANAWAKE waliohitimisha umri wa uzazi wataweza kujidunga sindano za dawa kuzuia ujauzito iwapo pendekezo la Shirika...