• Nairobi
  • Last Updated May 1st, 2024 6:17 PM

MBURU: Raia wahamasishwe kuhusu athari za uchafuzi wa mito

Na PETER MBURU SERIKALI imeendelea wiki hii na kampeni ya kuadhibu kampuni zinazolaumiwa kwa uchafuzi wa chemichemi za maji katika...

Maji taka milangoni kero kwa wakazi wa Nakuru

NA GEOFFREY ONDIEKI Wakazi wa mitaa ya Flamingo na Kimathi mjini Nakuru wameelezea gadhabu zao kuhusiana na maji taka yanayomiminika...

TAHARIRI: Serikali ishughulikie ripoti ya uchafuzi

NA MHARIRI RIPOTI ya uchunguzi uliofanywa na Taifa Leo kuhusu uharibifu wa mazingira yafaa kuchunguzwa kwa makini na wadau, ili suluhu...

Sh82 bilioni za ujenzi wa Bwawa la Thwake hatarini kupotea

Na PAUL WAFULA HUENDA Kenya ikapoteza Sh82 bilioni katika ujenzi wa Bwawa la Thwake, Kaunti ya Makueni baada ya kubainika litategemea...

Watu wengi hutumia maji ya Mto Athi bila kujua athari zilizopo

Na BERNARDINE MUTANU BW Vaati Mbiki, 35, anajitayarisha kuanza shughuli za kawaida za uvuvi katika Mto Athi. Baada ya majaribio...

Sumu mitoni yatishia maisha ya mamilioni ya Wakenya

Na PAUL WAFULA MAMILIONI ya Wakenya wanatumia maji na vyakula vyenye sumu kwao, wanyama na mazingira. Katika muda wa miezi miwili...

Uchafuzi wa mito huanza kwenye chemchemi

NA WAANDISHI WETU KULINGANA na uchunguzi wa Taifa Leo, ambapo waandishi wetu walifuata Mto Nairobi kutoka chemichemi yake katika Kaunti...

Sababu ya NEMA kufunga viwanda 12

Na BERNARDINE MUTANU Serikali inajitahidi kuhifadhi Mto Nairobi ambao kwa kiwango kikubwa umechafuka, na ambao ni moja ya matawi ya Mto...

NJAA: Mito na maziwa yakauka Baringo na Nakuru miti ikinyauka

RICHARD MAOSI NA KEVIN KEMBOI MAELFU ya watu wanahofia maisha yao baada ya chemchemi za maji na mito kukauka katika Kaunti ya Nakuru na...