• Nairobi
  • Last Updated February 29th, 2024 6:55 PM

Everton kuachilia Moise Kean kurejea Juventus kujaza pengo la Ronaldo

Na MASHIRIKA EVERTON wameanzisha mazungumzo na Juventus kuhusu uwezekano wa fowadi matata raia wa Italia, Moise Kean kujiunga upya na...

Fowadi Moise Kean awabeba PSG hadi ndani ya 32-bora French Cup

Na MASHIRIKA PARIS Saint-Germain (PSG) walifuzu kwa hatua ya 32-bora ya French Cup msimu huu baada ya kupiga Caen ya Ligi ya Daraja la...

DIMBA: ‘Big Mo’ Kean ametajwa kama kizazi kipya cha Azzuri

Na GEOFFREY ANENE BIOTY Moise Kean ni mmoja wa wanasoka makinda wanaovuma kwenye Ligi Kuu nchini Ufaransa. Mshambuliaji huyo wa kati...

Pochettino aanza kazi ya ukocha PSG kwa sare dhidi ya St-Etienne ligini

Na MASHIRIKA KOCHA Mauricio Pochettino alishuhudia mechi yake ya kwanza kusimamia kambini mwa Paris Saint-Germain (PSG) ikikamilika kwa...

PSG washuka hadi nafasi ya tatu jedwalini baada ya kupoteza alama muhimu dhidi ya Lille katika Ligue 1

Na MASHIRIKA PARIS Saint-Germain (PSG) walipoteza alama muhimu kwa mara ya sita msimu huu kwenye kampeni za Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue...

PSG wabanwa na Bordeaux ligini kabla ya kurudiana na Manchester United kwenye UEFA

Na MASHIRIKA VIONGOZI wa Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1), PSG, walilazimishiwa sare ya 2-2 na Bordeaux mnamo Novemba 28, 2020 siku tatu...

PSG yaipepeta Rennes 3-0 ligini

Na MASHIRIKA ANGEL Di Maria alifunga mabao mawili naye Moise Kean akapachika wavuni bao lake la tano kutokana na mechi tano kambini mwa...

Kean afungua rasmi akaunti yake ya mabao kambini mwa PSG

Na MASHIRIKA MWITALIANO Moise Kean alifunga mabao yake mawili ya kwanza kambini mwa Paris Saint-Germain (PSG) na kusaidia miamba hao wa...