• Nairobi
  • Last Updated May 18th, 2024 1:15 PM

Mvua yazuia mashahidi wa kesi ya Konza City kufika kortini

[caption id="attachment_5602" align="aligncenter" width="800"] Wakurugenzi wa kampuni ya mashamba ya Malili, kaunti ya Makueni wakiwa...

Mvua zaidi yaja, Idara ya Utabiri yasema

Na WAANDISHI WETU MVUA inatarajiwa kuendelea kunyesha katika maeneo tofauti ya nchi wiki hii, huku mafuriko yakizidi kusababisha...

Waathiriwa wa mafuriko Afrika Mashariki wakodolea macho njaa

Na CHRIS OYIER Kwa muhtasari: Nchi za Afrika Mashariki zimekumbwa na mafuriko kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha eneo...

Mto Tana wavunja maisha ya wakazi 3,000

NA KLUME KAZUNGU WAKAZI wapatao 3000 wameachwa bila makao baada ya nyumba zao kusombwa na maji kwenye vijiji vya Chalaluma, Dide Waride,...

Wizara yataka itengewe Sh20 bilioni kukarabati barabara

Na WALTER MENYA WIZARA ya Barabara na Miundomsingi inataka bunge na Wizara ya Fedha kutenga karibu Sh20 bilioni za dharura ili...

Mahangaiko ya mafuriko shule zikifunguliwa

Na WAANDISHI WETU MAFURIKO na maporomoko ya ardhi yanayoendelea kushuhudiwa katika pembe nyingi za nchi yamesababisha mahangaiko...

Kero la mafuriko Mai-Mahiu

Na ANTHONY OMUYA Shughuli za usafiri zilitatizika kwa muda wa zaidi ya saa 10 Jumatatu usiku baada ya mvua ya mafuriko...

Mvua inayonyesha kuchangia kushuka kwa ada ya umeme

Na BERNARDINE MUTANU Gharama ya umeme inatarajiwa kushuka kwa kiasi kikubwa kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha...

Wakazi wakwama juu ya miti kufuatia mafuriko

STEPHEN ODUOR na JADSON GICHANA WAKAZI wa eneo la Nanigi, Kaunti ya Tana River, wamekuwa wakiishi mitini na kwa paa za nyumba zao kwa...

Maelfu kwenye mafuriko wahitaji msaada wa dharura

Na WAANDISHI WETU MAELFU ya Wakenya katika maeneo mbalimbali ya nchi wanahitaji msaada baada ya makazi na mazao yao kusombwa na...

Mvua ya mauti watu 22 wakiangamia

Na WAANDISHI WETU ZAIDI ya watu 22 walifariki dunia Jumanne kwenye mikasa miwili tofauti inayohusiana na mvua, huku idara ya utabiri wa...

Mafuriko yatarajiwa tena Aprili

Na VALENTINE OBARA MAFURIKO mijini na maporomoko ya ardhi katika nyanda za juu za nchi zinatarajiwa wakati msimu wa mvua ya masika...