• Nairobi
  • Last Updated February 25th, 2024 10:30 AM

Kanisa linaloruhusu ndoa za watoto lamulikwa na UN

Na MASHIRIKA HARARE, ZIMBABWE UMOJA wa Mataifa (UN) umelaani utamaduni wa ndoa za watoto Zimbabwe kufuatia kifo cha msichana mwenye...

SHAIRI: Msirarue maisha yangu

Nanena nisikike, Nitambulike nipewe haki yangu, Hadhi yangu nipate, Heshima zangu nipokee.   Elimu kamwe...

Dhamana ya Sh100,000 kwa kuoa msichana wa miaka 16

ALEX NJERU Mwanamme wa miaka 20 katika eneobunge la Tharaka, Kaunti ya Tharaka Nithi ameshtakiwa katika korti ya Marimanti kwa kosa la...

Mtoto wa miaka 9 aokolewa kuolewa na mwanamume wa miaka 30

Na STANLEY NGOTHO MTOTO wa kike wa miaka tisa, mwishoni mwa wiki aliokolewa kabla ya kuozwa kwa mwanamume wa miaka 30 katika kijiji cha...

Ndoa za matineja huigharimu Afrika matrilioni – Benki ya Dunia

MASHIRIKA na PETER MBURU NDOA za matineja huligharimu bara la Afrika angalau Sh6.3 trilioni, Benki ya Dunia imesema. Ripoti ya benki hiyo...

NAROK: Eneo ambako ndugu huoza dada zao bila kuchukuliwa hatua

Na BENSON MATHEKA WATOTO wasichana eneo la Olpusimoru, Kaunti ya Narok wanakabiliwa na hatari ya kuozwa mapema na ndugu zao bila...

Kampeni ya kuwabamba wazee wanaooa wasichana matineja yaanza

NA KALUME KAZUNGU IDARA ya usalama ya kaunti ya Lamu imezindua kampeni kabambe ya kuwasaka na kuwakamata wazee wanaowaoa wasichana wa...