• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 11:33 PM

Mapinduzi seneti

Na CHARLES WASONGA HATIMAYE Rais Uhuru Kenyatta amefanikisha mapinduzi ya uongozi wa mrengo wa Jubilee katika Seneti kwa kuteua Seneta...

Maseneta wenye zaidi ya miaka 58 kufanyia kazi nyumbani

NA DAVID MWERE Spika wa Seneti Ken Lusaka ametangaza hatua zitakazoruhusu maseneta 28 pekeeĀ  kuendelea kuhudhuria vikao vya...

Seneti yatoa Sh200m kupiga vita corona

Na CHARLES WASONGA BUNGE la Seneti limetoa Sh200 milioni kutoka kwa bajeti yake ya mwaka wa kifedha wa 2019/2020 kupiga jeki mpango wa...

Seneti kujadili hali ya maambukizi ya corona

Na CHARLES WASONGA BUNGE la Seneti Jumanne, Machi 31, 2020, litafanya kikao cha kwanza, majuma mawili baada ya kuahirisha shughuli zake...

Hakuna chai wala chakula kwa maseneta kikaoni

NA DAVID MWERE HUKU maseneta wote 67 wakikongamana Jumanne baada ya Seneti kusitisha vikao vyake hapo Machi 17 kutokana na janga la...

Hekima ya seneti yafungulia magavana mifereji ya fedha

Na CHARLES WASONGA MAGAVANA nchini sasa wanaweza kupumua baada ya maseneta kulegeza msimamo wao na kukubali mgao wa Sh316.5 bilioni kwa...

Lusaka awataka viongozi waeleze faida ya miswada

DENNIS LUBANGA na GERALD BWISA SPIKA wa Bunge la Seneti, Bw Ken Lusaka amewaomba viongozi wa kisiasa nchini kuwahamasisha Wakenya kuhusu...

TAHARIRI: Mzozo wa seneti na bunge unaumiza raia

NA MHARIRI Magavana wamesema kwa yakini kwamba shughuli katika kaunti zote 47 zitavurugika kuanzia Septemba 16 iwapo mabunge ya Seneti...

Seneti kuita mabunge ya kaunti kueleza yanavyotumia pesa

Na PETER MBURU SENETI inapanga kuanza kuwaweka madiwani katika kibarua kueleza jinsi wanatumia pesa wanazopewa na serikali za kaunti,...

Wabunge wajadili kuvunja Seneti

Na PETER MBURU VITA vya ubabe baina ya Bunge la Taifa na Seneti kuhusu lipi lina mamlaka zaidi, viliendelea bungeni Jumatano huku baadhi...

Wabunge wapendekeza Seneti iondolewe kwa katiba

NA FRANCIS MUREITHI WABUNGE wawili kutoka Kaunti ya Nakuru wameapa kuwaongoza wananchi waliowachagua kufutilia mbali uwepo Bunge la...

Lusaka akemea viongozi wanaotaka seneti iondolewe

Na BONIFACE MWANIKI SPIKA wa Seneti Kenneth Lusaka amewataka Wakenya wasitilie maanani pendekezo la baadhi ya viongozi wa kisiasa...