• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 3:16 PM

Kinaya Kenya ikiwapa Wachina mkopo wa mabilioni bila riba

Na LEONARD ONYANGO Uchina ilipunja Kenya katika mchakato wa kutia saini mkataba wa Sh324.01 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa reli ya...

Serikali yasema SGR ilipata Sh5.7b, Uchina yasema ni Sh10.3b. Nani msema kweli?

Na BERNARDINE MUTANU Huenda reli ya kisasa kati ya Nairobi na Mombasa ilipata hasara, miaka miwili baada ya kuzinduliwa...

Mlima Kenya wataka SGR ipitie kwao

Na GEORGE MUNENE WAFANYABIASHARA kutoka eneo la Mlima Kenya wamelaumu serikali kuu kuwa iliwachezea shere kwa kukosa kujenga reli ya...

JAMVI: Kauli ya Raila kuhusu SGR inamponza au inamjenga kisiasa?

Na BENSON MATHEKA Kauli ya kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga kuhusu mkopo wa kujenga reli ya kisasa (SGR) kutoka Naivasha hadi...

SGR: Hisia mseto zaibuka Magharibi Rais akikosa mkopo

Na WAANDISHI WETU VIONGOZI na wafanyabiashara wa maeneo ya Magharibi mwa Kenya wametofautiana vikali kuhusu hatua ya Rais Uhuru...

Serikali sasa yadai haikunyimwa mkopo wa SGR

 BENSON MATHEKA na CHARLES WASONGA SERIKALI ya Kenya,  ilijitetea baada ya kushindwa kupata mkopo wa Sh370 bilioni kufadhili ujenzi wa...

Pigo kwa Kenya baada ya China ‘kukataa’ kuipa mkopo wa Sh380bn kuendeleza SGR Naivasha hadi Kisumu

Na CHARLES WASONGA NI pigo kuu kwa serikali ya Kenya baada ya China kuinyima mkopo wa Sh380 bilioni za kufadhili ujenzi wa Reli ya Kisasa...

SGR kati ya Nairobi na Naivasha kukamilika Juni 30

Na BERNARDINE MUTANU Ujenzi wa reli ya kisasa ya kilomita 120 kati ya Nairobi na Naivasha unakaribia kukamilika na inatarajiwa...

SGR ya Naivasha kuzinduliwa Juni

Na CHARLES WASONGA AWAMU ya pili ya reli ya kisasa (SGR) itazinduliwa Juni mwaka huu, Shirika la Reli Nchini (KR) limetangaza. Kwenye...

Hofu mpya kuhusu madeni ya Uchina

Na LEONARD ONYANGO SERIKALI Jumatatu ilikaa kimya kuhusu taarifa kuwa imepatia China uhuru wa kutwaa mali ya Kenya ipendavyo iwapo...

Serikali yaanza kulipa fidia wenye mashamba ya SGR

Na ERIC MATARA WATU zaidi ya elfu moja walioathiriwa na awamu ya pili ya ujenzi wa reli mpya ya kisasa (SGR) kati ya Nairobi na Naivasha...

SGR yaleta vilio kwa maelfu ya Wakenya

NA ALLAN OLINGO RELI ya kisasa ya SGR imegeuka kuwa kero kwa maelfu ya watu waliotegemea uchukuzi wa mizigo kwa matrela kujikimu...