• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 7:50 AM

TAHARIRI: Wadau waungane kudhibiti maambukizi ya HIV

NA MHARIRI KUIBUKA kwa ripoti kuwa maambukizi ya virusi vya HIV yameongezeka nchini kutokana na migomo ya mara kwa mara ya wahudumu wa...

Kampuni ya Kikuyu sasa yatengeneza dawa za kupunguza makali ya HIV

NA DANIEL OGETTA KIWANDA kimoja mjini Kikuyu kimefanikiwa kutengeneza dawa za kupunguza makali ya ukimwi (ARVs) kwa kuzingatia mwongozo...

Maambukizi ya HIV kutoka kwa mama hadi mtoto yaongezeka

 Na GEORGE MUNENE BARAZA la Kudhibiti Maradhi ya Ukimwi (NACC) limeelezea wasiwasi wake kuhusu ongezeko la maambukizi ya virusi vya HIV...

TAHARIRI: Ukimwi bado hauna tiba japo kuna tumaini

NA MHARIRI WANASAYANSI hatimaye wamedokeza kuwa huenda tiba ya maradhi ya Ukimwi ikapatikana baada ya kufanya majaribio kwa zaidi ya...

Historia mgonjwa wa pili wa Ukimwi akitibiwa na kupona

Na MASHIRIKA KWA mara ya pili katika historia, madaktari wamefanikiwa kutibu mtu aliyekuwa akiugua ugonjwa wa Ukimwi, baada ya virusi...

Hakimu afichua alipigwa kalamu kwa kuugua Ukimwi

Na RICHARD MUNGUTI HAKIMU aliyefutwa kazi kwa kumfichulia msajili mkuu wa idara ya mahakama Bi Anne Amadi alikuwa akiugua Ukimwi anaomba...

Ukimwi: Maambukizi kwa vijana yanatisha

VERAH OKEYO na ANGELA OKETCH WATAFITI na wataalamu wa afya wanaadhimisha Siku ya Ukimwi Ulimwenguni hii leo wakitoa wito kwa taifa...

Aspirin inaweza kupunguza maambukizi ya HIV – Utafiti

ELIZABETH MERAB Na PETER MBURU IJAPOKUWA dawa ya Aspirin hutumiwa kupunguza uchungu wa mwili pale unapouma, sasa imebainika kuwa inaweza...

Mama wa Taifa azindua teknolojia mpya ya kuchunguza VVU kwa watoto

NA PSCU MAMA wa Taifa Margaret Kenyatta Alhamisi alijiunga na mwenzake wa Msumbiji, Isaura Nyusi, kuzindua kifaa cha kisasa katika...

Hatimaye wanasayansi wagundua dawa inayoangamiza HIV

Na ANGELA OKETCH MATUMAINI ya kupatikana kwa dawa ya Ukimwi yameongezeka baada ya matokeo ya utafiti kwa dawa inayofahamika kama...

Athari za HIV Bungoma kupigwa darubini

Na CHARLES WASONGA SHIRIKA la kuchunguza athari za kuenea kwa virusi vya HIV nchini Kenya (KENPHIA) litaendesha uchunguzi katika nyumba...

Ni dhambi kuu kutumia kondomu, Kanisa Katoliki laonya

Na WINNIE ATIENO KANISA Katoliki limesema kamwe halitokubali waumini wake kukumbatia matumizi ya kondomu licha ya takwimu kuonyesha...