• Nairobi
  • Last Updated May 18th, 2024 6:09 PM

RASMI: Uhuru akataa kuondoa ushuru wa 16%, bei ya bidhaa kuzidi kupanda

Na CHARLES WASONGA NI rasmi kwamba gharama ya maisha sasa itaendelea kupanda baada ya Rais Uhuru Kenyatta kukataa kutia saini Mswada wa...

USHURU: Uhuru alivyotegwa

Na BENSON MATHEKA IMEJITOKEZA kuwa wabunge walifanyia mabadiliko sheria ya fedha ili kumsukumia mzigo Rais Uhuru Kenyatta nao...

Uhuru arejea nchini kimya kimya, ajifungia Ikulu kujadili ushuru

Na CHARLES WASONGA BAADA ya kurejea nchini kimyakimya mnamo Jumapili usiku, Rais Uhuru Kenyatta Jumanne alifanya kikao cha faraghani...

Joho akumbana na ghadhabu za wakazi kwa kuongeza ushuru

Na WINNIE ATIENO Serikali ya Kaunti ya Mombasa Jumamosi ilijipata taabani kufuatia kodi ya gharama ya juu kwenye Mswada wa Fedha wa...

Biashara ndogo ndogo zawekewa ushuru mpya

Na WINNIE ATIENO Kufanya biashara katika Kaunti ya Mombasa sasa kutagharimu wafanyabiashara wadogo zaidi baada ya serikali ya kaunti...

Uhuru kona mbaya kutuliza ghadhabu za Wakenya

Na WAANDISHI WETU RAIS Uhuru Kenyatta anarejea nchini kutoka China akiwa kwenye kona mbaya kutokana na shinikizo ambazo zimetokana na...

Ushuru zaidi waja – Ruto

Na WAANDISHI WETU SIKU mbili tu baada ya ushuru wa asilimia 16 wa VAT kwa mafuta kuanza kutekelezwa, Naibu Rais William Ruto jana...

TAHARIRI: Kinaya ni kuwa hela za ushuru bado zitafujwa

NA MHARIRI Hayawi hayawi hatimaye huwa na sasa baadhi ya ushuru mpya uliopendekezwa na serikali kwenye bajeti tayari umeanza...

TAHARIRI: Serikali ifikirie tena juu ya ushuru mpya

Na MHARIRI MPANGO wa serikali wa kujenga makazi mapya katika sehemu za miji nchini ni mzuri na bila shaka utakuwafaa mamilioni ya...

Wenye mshahara mnono kukatwa ushuru wa juu

Na BERNARDINE MUTANU WATU binafsi na kampuni zinazopata mapato ya juu zaidi nchini wameongezewa ushuru wa asilimia 35 huku Hazina ya Fedha...

Mswada wa Ushuru kupandisha bei ya bidhaa muhimu

Na CHARLES WASONGA BEI ya unga wa ugali, mikate na mihogo inatarajiwa kupanda ikiwa mswada uliowasilishwa bungeni mwezi Aprili...

KRA yapungukiwa na Sh17 bilioni

Na BERNARDINE MUTANU Shirika la Kutoza Ushuru nchini (KRA) lilikosa kupata zaidi ya Sh17 bilioni kama ushuru. Hii ni baada ya serikali...