• Nairobi
  • Last Updated May 19th, 2024 6:50 AM

WATOTO: Mkali wa nyimbo anayesisimua kwa weledi wake

Na PATRICK KILAVUKA UBUNIFU na kujitolea katika kukuza vipawa vyake, kulimweka katika hali ya kutimiza ndoto yake ya kuwa kiongozi wa...

NENDENI SALAMA: Misa ya kuaga wanafunzi 10 yaandaliwa

Na BONIFACE MWANIKI HALI ya majonzi ilitanda katika uwanja wa michezo wa shule ya upili ya St. Joseph’s Seminary, Mwingi Alhamisi...

FUNGUKA: Lengo langu ni kupata zaidi ya watoto 9

NA PAULINE ONGAJI Katika umri wa miaka 34 kuna wanawake ambao huenda hata hawajafanya uamuzi wa iwapo wako tayari kuolewa au kupata...

KONOKONO: Ngonjera inayotetea haki za mtoto wa kiume

Na PATRICK KILAVUKA Haki za watoto zinapaswa kuzingatiwa pasi na kubaguliwa kijinsia kwani, mtoto ni mtoto awe wa kike au wa...

KWAHERI UTAPIAMLO: Majani ya viazi vitamu yanavyovutia watoto shuleni

Na FAUSTINE NGILA JE, wajua kwamba majani ya viazi vitamu yanaweza kupikwa na kugeuzwa mboga yenye nguvu mwilini mara nne kuliko...

Watupa mtoto kwa kukejeliwa kuzaa watoto wengi

Na MASHIRIKA na VALENTINE OBARA KERALA, INDIA MWANAMUME na mkewe waliyekamatwa na polisi kwa kutupa mtoto wao walisema walifanya hivyo...

KURUNZI YA PWANI: Wautaja utalii ‘laana’ watoto wao wakigeuzwa makahaba

Na WINNIE ATIENO JAPO utalii unachangia pakubwa pato la uchumi wa taifa, umegueuka kuwa ‘laana’ kwa jamii zinazoishi Pwani baada ya...

KILIO CHA HAKI: Sababu za ubakaji kukithiri katika mitaa ya mabanda

Na BENSON MATHEKA IDADI ya kesi za unajisi wa watoto inaendelea kuongezeka katika Mahakama ya Kibera hasa kutoka mitaa ya mabanda jijini...

WATOTO: Anatumia umahiri wake katika usakataji densi kuikosoa jamii

Na PATRICK KILAVUKA MASIHA ya kidijitali yana manufaa na athari zake kwa jamii.  Ni kutokana na kauli kwamba uzingativu wa usasa na...

Shirika lasaka wanaume 100 kushiriki mpango wa kupanga uzazi

Na LEONARD ONYANGO WANAUME wanaotaka kupanga uzazi wametakiwa kujitokeza kwa wingi ili kukatwa mishipa ya kusafirisha mbegu za kiume kwa...

WATOTO: Japo walemavu, wamedhihirisha umahiri wao katika uigizaji na densi

Na PATRICK KILAVUKA Kweli ulemavu si hali ya kukosa uwezo kutekeleza majukumu au wajibu katika nyanja mbalimbali za maisha. Kauli hii...

WATOTO: Bingwa wa uogeleaji

Na PATRICK KILAVUKLA SIRI ya kufualu kuwa muogeleaji mahiri ni kufuata maagizo ya mkufunzi wa taaluma ya kuogelea kwani, si fani hatari...