• Nairobi
  • Last Updated May 6th, 2024 7:55 AM

BALLET: Densi ya majuu inavyonoa akili za watoto Nakuru

NA RICHARD MAOSI Densi ya Ballet yenye asili ya Uhispania na Uingereza inahitaji miondoko ya aina yake, utafiti ukionyesha kuwa watoto...

MUTANU: Wazazi wasipowaelekeza watoto, upotovu utazidi

Na BERNARDINE MUTANU Kilikuwa kisa cha kushangaza kwa vijana wa umri mdogo walipomteka nyara na kumuua mvulana wa umri mdogo mbali na...

Hisia kali kuhusu pendekezo watoto wa miaka 16 kuruhusiwa kufanya ngono

Na PETER MBURU PENDEKEZO la Majaji wa Mahakama ya Rufaa kuwa umri wa watoto kuruhusiwa kujihusisha na ngono unafaa kupunguzwa kutoka...

Wasamaria kutoka kuzimu

Na VALENTINE OBARA TABIA ya wahisani kutoka ng'ambo kuwadhulumu watoto mayatima na wanaotoka familia maskini, imefikia upeo mpya baada...

Mwanamke mwingine ajifungua watoto 6 kwa dakika 9

CHARLES WASONGA na MASHIRIKA Houston, Amerika MWANAMKE mmoja kutoka Amerika amejifungua watoto sita kwa kwa mpigo kwa kipindi cha...

Sitaki mimba tena, asema mama aliyejifungua watoto 5

 SHABAN MAKOKHA na CHARLES WASONGA MWANAMKE mwenye umri wa miaka 28 amejifungua watoto watano kwa mpigo, katika Hospitali ya Rufaa ya...

Wasiopeleka watoto wao shuleni waonywa

Na Fadhili Fredrick SERIKALI imeonya kuwa itawachukulia hatua kali wazazi na walezi katika kaunti ya Kwale ambao wanawanyima watoto haki...

WATOTO: Mwanafunzi anayelenga kuwa msanii mtajika nchini

Na PATRICK KILAVUKA PURITY Wangari, 10, ni mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi ya ACK St Johns, Kangemi, Nairobi. Ni...

Watoto waliofariki Pumwani kufanyiwa upasuaji

NA COLLINS OMULO UPASUAJI wa kubaini kilichosababisha vifo vya watoto 12 katika hospitali ya kujifungulia akina mama ya Pumwani...

Shirika lataja Reggea kama kikwazo kwa elimu ya watoto

Na CHARLES LWANGA SHIRIKA la kijamii la kupambana na mihadarati mjini Malindi limesemaa miziki ya kisasa aina ya Reggea inachangia...

TEKNOLOJIA: Watoto wa Mombasa wanavyounda programu za kompyuta

DIANA MUTHEU NA PETER MBURU KWA Paul Akwabi, inawezekana kwa watoto wachanga kuanzia miaka tisa hivi kufunzwa masuala ya ubunifu ili...

WATOTO: Usogora wake wa kupiga ngoma wanogesha tamasha

Na PATRICK KILAVUKA Kufinyanga kipaji kunahitaji uwe mwenye kuchochea, nia, mazoezi, bidii ya mchwa, nidhamu, kukikuza na kukubali...