• Nairobi
  • Last Updated May 24th, 2024 2:08 PM
AMINI USIAMINI: Pacu ni samaki mwenye meno kama ya binadamu

AMINI USIAMINI: Pacu ni samaki mwenye meno kama ya binadamu

NA MWORIA MUCHINA

SAMAKI kwa jina pacu ana meno kama ya binadamu.

Sura hii huwafanya wakae wa kuogofya ingawa ni watulivu.

Hula majani ya baharini na wanaweza pia wakala nyama.

  • Tags

You can share this post!

Operesheni yaanika wanaotumia ethanol kutengeneza pombe...

Biashara yanoga Maasai Mara uhamaji wa nyumbu ukibisha

T L