• Nairobi
  • Last Updated May 24th, 2024 2:08 PM
AMINI USIAMINI: Kakakuona humeza mawe iwe rahisi chakula kusagika

AMINI USIAMINI: Kakakuona humeza mawe iwe rahisi chakula kusagika

NA MWORIA MUCHINA

KAKAKUONA (Pangolin) ndiye mnyama wa pekee duniani ambaye ngozi yake ina magamba kama ngozi ya nyoka.

Hula mchwa na wadudu wengine na hawana meno.

Humeza mawe ili kusaidia kusaga chakula tumboni.

Anaweza kula zaidi ya mchwa 20,000 kwa siku.

Hujipinda kama mpira wanapovamiwa na adui na ndio wanyama wanaouzwa kwa zaidi kwenye soko la magendo. Hii ni kwa sababu raia wa mojawapo ya mataifa ya Bara Asia huamini ngozi na nyama yao huponya magonjwa kadhaa.

  • Tags

You can share this post!

Mashirika ya kutetea haki yamkemea Kindiki

Mwakilishi wa Nyambati akata rufaa kesi ya kuchaguliwa...

T L