• Nairobi
  • Last Updated December 4th, 2023 6:37 PM
KINYUA KING’ORI: Maridhiano baina ya Rais Ruto na Raila yatafaa pakubwa uchumi wa taifa

KINYUA KING’ORI: Maridhiano baina ya Rais Ruto na Raila yatafaa pakubwa uchumi wa taifa

NA KINYUA KING’ORI

HATUA ya Rais William Ruto kukubali baadhi ya hoja zilizochochea maandamano ya muungano wa upinzani Azimio, ni nzuri.

Hoja hizo zinafaa kusikizwa na kujadiliwa bila kujali nani aliyesahihi au aliyekosea kuhusu suala la kutisha maandamano nchini.

Katika muktadha huo napongeza Azimio, ikiongozwa na Bw Raila Odinga, kwa kusitisha masi hayo ili kutoa nafasi ya majadiliano.

  • Tags

You can share this post!

Dawa za kulevya sumu kwenu, vijana washauriwa

Kenya yazindua setlaiti ya kwanza kusaidia kuboresha kilimo...

T L