• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 9:50 AM

Kesi kuhusu mtaala mpya wa elimu yatajwa ya dharura

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA kuu imeratibisha kesi ya kupinga kuzinduliwa kwa mtaala mpya wa elimu nchini wa 2-6-3-3 kuwa ya...

Serikali yaahirisha uzinduzi wa mtaala mpya, 8-4-4 kuzidi kutumika

Na SAMUEL OWINO SERIKALI imeahirisha mpango wa kuzindua mtaala mpya wa masomo mwaka ujao ili kutoa nafasi ya kuweka miundo msingi na...

Mtaala mpya uko sambamba, haujakwama – KICD

 Na BENSON MATHEKA MAGEUZI yanayofanyiwa mtaala mpya wa elimu hayajakwama, mkurugenzi wa taasisi ya kukuza mitaala nchini (KICD) Dkt...

Mtaala mpya waidhinishwa na waangalizi wa kimataifa

Na CECIL ODONGO WAANGALIZI wa Kimataifa wameidhinisha mtaala mpya wa elimu unaoendelea kufanyiwa majaribio katika shule mbalimbali...

TAHARIRI: Mtaala mpya unahitaji umakinifu

Na MHARIRI KENYA inapojiandaa kuzindua mtaala mpya wa elimu, itakuwa muhimu mambo kadhaa muhimu yazingatiwe kwa makini. Mfumo wa...

Hofu uzinduzi wa mtaala mpya wa 2-6-6-3 hapo 2019 utafeli tena

Na LEONARD ONYANGO UZINDUZI wa mafunzo ya Mtaala mpya kwa madarasa ya chekechea hadi Darasa la Nne, Januari 2019, huenda ukagonga mwamba...