• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 5:10 PM

Mswada wazua hofu ya njama ya kuiba kura

NA CHARLES WASONGA KUNA wasiwasi kuwa mswada mpya unaobadilisha sheria kuhusu mfumo wa uwasilishaji matokeo ya uchaguzi wa urais ni...

Shughuli za bunge zafufuka

Na CHARLES WASONGA HATIMAYE shughuli za bunge zimekwamuliwa baada ya wabunge, Jumanne, Februari 1, 2022, kuipitisha hoja ya kuundwa upya...

Mswada tata wa vyama kujadiliwa Jumatano

IBRAHIM ORUKO na DAVID MWERE KAMATI ya Bunge Kuhusu Sheria imekubali malalamishi ya umma na kuamua kupunguza muda ambao vyama vya siasa...

Kimunya apuuza waundao vyama vidogo Mlimani

Na WAIKWA MAINA KIONGOZI wa wengi katika Bunge la Kitaifa, Amos Kimunya, ametofautiana na magavana wa eneo la Kati mwa Kenya kuhusu wazo...

Bunge la Kitaifa lapitisha Mswada wa BBI

Na CHARLES WASONGA BUNGE la Kitaifa Alhamisi usiku ilipitisha Mswada wa Mageuzi ya Katiba kupitia Mpango wa Maridhiano (BBI) baada ya...

Kimunya adokeza huenda bunge likaitwa kujadili ripoti ya mswada wa BBI

CHARLES WASONGA na MWANGI MUIRURI BUNGE la Kitaifa litafanya kikao maalum wiki ijayo kujadili ripoti kuhusu mswada wa marekebisho ya...

BBI: Rai ya wabunge dhidi ya upotoshaji

Na CHARLES WASONGA UONGOZI wa bunge umewaonya Wakenya dhidi ya kutegemea wanasiasa wawasomee na kuwafafanulia kuhusu yaliyomo katika...

Wabunge watekwa na densi ya ‘Jerusalema’

Na CHARLES WASONGA WABUNGE wataahirisha kikao cha Jumanne wiki ijayo kujiunga na wimbi la densi maarufu kama “Jerusalema Challenge”...

Kimunya huru baada ya kesi ya unyakuzi kipande cha ardhi kufutiliwa mbali

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA Waziri wa Fedha Bw Amos Kimunya aliachiliwa Jumatano katika kesi ya unyakuzi wa ardhi ya umma ambapo...