• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 8:55 PM

Jumbe za msamaha, hisani zatawala Idd

Na WACHIRA MWANGI MAELFU ya Waislamu kote nchini walijumuika jana kuadhimisha sherehe ya Idd al-Fitr – kukamilisha mfungo wa...

Supkem yakana mgawanyiko kuhusu Idd

Na WACHIRA MWANGI VIONGOZI wa Kiislamu wamepuuzilia mbali ripoti kwamba, kuna tofauti miongoni mwa waumini kuhusu siku ya kukamilisha...

Maandalizi ya Idd yanoga Ramadhan ikifika tamati

Na BRIAN OCHARO MAANDALIZI ya kusherehekea sikukuu ya Idd ul-Fitri yameshika kasi nchini Waislamu wanapojiandaa kukamilisha mwezi...

Ada za Idd ambazo ‘zimesahaulika’

Na MISHI GONGO KATIKA dini ya Kiislamu kuna sikukuu mbili ambazo huwa na umuhimu mkubwa kwa waumini. Sikukuu hizo ni Idd-ul-Fitr...

Kanuni za kuchinja Siku ya Idd kubwa

Na HAWA ALI Sifa zote njema anastahiki Mwenyezi Mungu, Muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo. Swala na salamu zimwendee Mtume Muhammad...

Idd bila swala misikitini wala shamrashamra yakosa ladha

KALUME KAZUNGU na SHABAN MAKOKHA WAISLAMU nchini Jumapili waliadhimisha Sikukuu ya Idd bila shamrashamra nyingi kufuatia kanuni...

Wakazi lamu wakiuka kanuni za Covid-19 wakisherehekea Idd

NA KALUME KAZUNGU Wakazi wa Lamu walikiuka mikakati iliyowekwa kupambana na ugonjwa wa Covid-19 huku wakisherehekea sikukuu ya...

Mayatima, maskini wachinjiwa ng’ombe 1,000 sikukuu ya Idd

WAWERU WAIRIMU na MOHAMED AHMED WAISLAMU katika Kaunti ya Isiolo Jumatatu walisherehekea Sikukuu ya Eid-Ul-Adha kwa njia ya kipekee...

Joho amkaribisha Uhuru Mombasa kwa shangwe

Na KAZUNGU SAMUEL GAVANA wa Mombasa Hassan Joho Alhamisi alimkaribisha Mombasa Rais Uhuru Kenyatta kwa mbwembwe na kuhitimisha uhasama...

RAMADHANI: Ni lazima maskini pia wapewe cha kusherehekea Idd

Na KHAMIS MOHAMED ALHAMISI majaaliwa Waislamu kote ulimwenguni wataelekeza macho mbinguni ili kuutafuta mwezi wa kukamilika kwa...

Uhuru kusherehekea Idd na Joho Mombasa

MOHAMED AHMED NA KAZUNGU SAMUEL RAIS Uhuru Kenyatta anatazamiwa kukutana na hasimu wake wa kisiasa Gavana Hassan Joho katika sherehe za...