• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 5:10 PM

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Uigaji hauzuiliki katika ubunifu hasa wa kazi za fasihi

Na ENOCK NYARIKI KATIKA ubunifu wa kazi za fasihi – novela, riwaya, tamthilia au hadithi fupi – mwandishi hujikuta amemuiga...

MATUNDURA: Athari za sera ya udhibiti kwa waandishi wa fasihi Afrika Mashariki

NA BITUGI MATUNDURA Kwa majuma sita, msururu wa makala yangu umekuwa ukiangazia suala la udhibiti wa maandishi. Tayari nimekwisha...

INDINDI: Rais atuonyeshe mfano bora katika kuthamini Kiswahili

NA HENRY INDINDI  TUNAPOKARIBIA kuufunga mwaka huu, ninatamani kutangaza matumaini yangu katika mwaka ujao. Ninatamani sana kuwa na...

GWIJI WA TAARAB: Khadija Kopa

Na CHRIS ADUNGO WATAKAPOORODHESHWA wasanii ambao wamechangia pakubwa katika makuzi ya Kiswahili ndani na nje ya janibu za Afrika...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Mchango wa mazingira katika mabadilikoya lugha kihistoria

Na CHRIS ADUNGO MWANADAMU daima hujikuta katika mazingira mbalimbali. Kwa kuyachunguza mazingira hayo, binadamu hupata fikira na dhana...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Nafasi ya utafiti kidijitali katika ukuaji, maendeleo ya Kiswahili

Na MARY WANGARI KATIKA siku za hivi majuzi, wadau kadha wa Kiswahili wamejitokeza kupigia debe suala la Kiswahili kufanywa lugha rasmi...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Tathmini ya kina kuhusu matamshi katika Kiswahili

Na WANDERI KAMAU MATAMSHI yanayopaswa kufundishwa shuleni nchini Kenya ni yale ya Kiswahili sanifu. Je, tunapozungumzia matamshi ya...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Nafasi ya Kiswahili kama lugha rasmi na ya taifa

Na ALEX NGURE LUGHA ya taifa ni lugha inayotumika katika taifa fulani kwa shughuli za kitaifa kama vile mikutano ya...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Viambajengo muhimu katika utamaduni wa Kiswahili

Na MARY WANGARI Ndoa na Harusi – Hiki ni kipengele kingine muhimu chenye uzito Uswahilini kwa kuwa ni taasisi ya kwanza katika maisha...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Utamaduni na lugha ya Kiswahili

Na MARY WANGARI KWA mujibu wa msomi Mbaabu (1985), utamaduni unahusu mila, asili, jadi, na desturi za mavazi, vyakula, imani, tabia, na...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Fafanuzi na nadharia za fasihi

Na ALEX NGURE WANANADHARIA wengi wamelielezea neno hili fasihi. Kwa hakika fafanuzi na nadharia juu yake ni nyingi. Neno fasihi...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Uchambuzi wa hadithi ‘Tumbo Lisiloshiba’ (Said A. Mohamed)

Na CHRIS ADUNGO MWANDISHI wa hadithi hii analenga kuonyesha umuhimu wa umoja; kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu. Mzee Mago...