• Nairobi
  • Last Updated April 30th, 2024 2:58 PM
Tahadhari yatolewa kuhusu vifaa ghushi vya kupima Ukimwi

Tahadhari yatolewa kuhusu vifaa ghushi vya kupima Ukimwi

Na ANGELINE OCHIENG

TAHADHARI imetolewa kuhusu kuibuka kwa vifaa ghushi vya kufanyia vipimo vya virusi vya Ukimwi ambavyo vimeingizwa nchini.

Haya yamejiri huku Shirika la Kitaifa la Kudhibiti Ukimwi na Maradhi ya Zinaa (NASCOP) likifichua kuwa idadi ya watu wanaotumia vifaa vya kujipima wenyewe Ukimwi imeongezeka tangu 2018, mpango huo ulipoanzishwa Kenya.

Inahofiwa kuwa watu wengi huenda wanapata vifaa hivyo duni ambavyo havijaidhinishwa kutoka vituo vya kibinafsi vya afya.

You can share this post!

Zuleikha apinga ushindi wa Mwanyoha uenyekiti ODM

TAHARIRI: Hakuna raha tena kushabikia Stars