• Nairobi
  • Last Updated May 19th, 2024 9:01 PM

Wakazi wa Kariminu waandamana kushinikiza wapewe ajira katika mradi wa Kariminu 11

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa kijiji cha Kariminu, eneo la Gatundu Kaskazini, wanawalaumu wasimamizi wa kampuni ya China ambayo...

Mahakama yazuia Mary Wambui kuongoza mamlaka ya kitaifa kuhusu ajira

Na SAM KIPLAGAT MAHAKAMA ya Masuala ya Leba imemzuia aliyekuwa mbunge wa Othaya Mary Wambui kuongoza Mamlaka ya Kitaifa kuhusu Ajira...

MBURU: Ni wazi sasa, ajira kwa vijana ni ndoto ya mchana

Na PETER MBURU MASHIRIKA mbalimbali ya kiserikali yanaonekana kuwa na ari spesheli ya kuwaajiri wazee wakongwe wakati taifa linazongwa...

Mary Wambui ateuliwa serikalini

Na CHARLES WASONGA ALIYEKUWA Mbunge wa Othaya Mary Wambui ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Kitaifa ya Ajira (NEA). Kwenye...

OBARA: Tutatue vikwazo vya ajira badala ya kuimbaimba ‘Vijana Wajiajiri’

Na VALENTINE OBARA MAHALI tulipofika sasa, wimbo huu wa ‘Vijana Wajiajiri’ wasinya! Kila mara mdahalo unapoibuka kuhusu janga la...

Pendekezo vijana wasio na kazi wapewe Sh48,000 na serikali

Na PETER MBURU WABUNGE wawili wanapendekezea bunge kubadili sheria, ili vijana ambao hawajaajiriwa wawe wakipewa kiwango fulani cha pesa...

Wengi hawana ujuzi wa kazi licha ya kufuzu vyuoni – Ripoti

Na CECE SIAGO VIJANA wengi katika kaunti za Pwani wanakosa kujiunga na vyuo vikuu baada ya kikamilisha masomo katika shule za...

‘Kijana fupi nono round’ akataa kazi ya Ruto

Na OSCAR KAKAI MWANASIASA wa Kaunti ya Pokot Magharibi, Dennis Ruto Kapchok, almaarufu Mulmulwas, amekataa kazi aliyoahidiwa na Naibu...

Wakenya wanataka kuhamia majuu kusaka ajira – Ripoti

Na LEONARD ONYANGO WAKENYA zaidi ya thuluthi moja, wengi wao wakiwa wanaume, wanatamani kuhamia mataifa ya kigeni kwenda kusaka...

Yafichuka raia wa kigeni 35,000 wamepata kazi Wakenya wakitaabika

Na CHARLES WASONGA JUMLA ya raia wa kigeni 35, 413 wamepewa leseni za kufanyakazi kazi nchini katika zaidi ya sekta 10 kati ya Julai 1,...

Kongamano lapendekeza mtaala mpya kukabili ukosefu wa ajira

NA RICHARD MAOSI Viongozi wa kidini kutoka Kaunti ya Nakuru, wameomba serikali kusawazisha mtaala wa elimu ili kuimarisha utangamano...

TAHARIRI: Vijana wakipewa ajira watalipa mikopo ya Helb

NA MHARIRI SERIKALI inafaa kutafuta mbinu bora zaidi za kufuatilia watu waliopewa mikopo ya elimu ya juu kupitia bodi ya HELB, badala ya...