• Nairobi
  • Last Updated May 2nd, 2024 2:19 PM

Mawimbi ya BBI yanavyoyumbisha kundi la Kieleweke

Na WANDERI KAMAU HATUA ya Seneta Irungu Kang’ata wa Murang’a kumwandikia barua Rais Uhuru Kenyatta mapema wiki hii kwamba huenda...

Wakenya wengi hawataki BBI – Utafiti

Na VALENTINE OBARA UWEZO wa Rais Uhuru Kenyatta na Kiongozi wa Chama cha ODM Raila Odinga, kufanikisha safari ya urekebishaji katiba...

ODM wahofia Jubilee inakoroga Raila

Na JUSTUS OCHIENG CHAMA cha ODM kimeeleza hofu kwamba barua ambayo seneta wa Murang’a Irungu Kang’ata aliandikia Rais Uhuru Kenyatta...

IEBC yaomba radhi kwa kuita BBI ‘Burning Bridges Initiative’

Na CHARLES WASONGA TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Jumatano ililazimika kuomba msamaha baada ya kurejelea mpango wa maridhiano...

Chama cha ‘wilbaro’ chapata mwanga wa kusajiliwa

Na LEONARD ONYANGO MSAJILI wa Vyama vya Kisiasa ameruhusu chama cha Party for Development Reform (PDR) kutumia nembo ya ‘wilibaro’...

Waislamu waungana kupinga BBI

Na BENSON MATHEKA VIONGOZI wa dini ya Kiislamu wamesisitiza kauli yao ya awali kuwa mchakato wa kubadilisha katiba kupitia Mpango wa...

LEONARD ONYANGO: Uchaguzi mdogo Nairobi ndio mtihani halisi kwa BBI na Ruto

Na LEONARD ONYANGO TANGU mwaniaji wa kujitegemea Feisal Bader – aliyekuwa akiungwa mkono na Naibu wa Rais William Ruto – kushinda...

Ujanja wa Uhuru na Raila kuzima sauti zinazokosoa BBI

Na BENSON MATHEKA Kwa miaka miwili sasa, Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga wamekuwa wakipanga jinsi ya...

BBI si ya kutafutia ‘viongozi fulani’ vyeo serikalini – Kingi

Na MAUREEN ONGALA GAVANA Amason Kingi wa Kilifi, amewalaumu viongozi ambao wanaeneza uvumi kwamba mapendekezo yaliyo katika ripoti ya...

CHARLES WASONGA: Matokeo ya Msambweni yasihusishwe na BBI wala kura za 2022

Na CHARLES WASONGA KWA mujibu wa kipengele cha 38 (2) cha Katiba ya sasa, ni haki ya kila Mkenya kufanya maamuzi yake ya kisiasa kwa...

Mchakato wa BBI umewaletea Wakenya mahangaiko zaidi – Mudavadi

Na JUSTUS OCHIENG KIONGOZI wa chama cha ANC, Musalia Mudavadi ameonya kuhusu uwezekano wa kukwama kwa shughuli za utoaji huduma katika...

Ruto awaonya wanasiasa dhidi ya kutumia BBI kupanda mbegu za migawanyiko nchini

Na CHARLES WASONGA NAIBU Rais William Ruto ameshauri wanasiasa kukoma kutumia mchakato wa maridhiano (BBI) kuwagawanya...