• Nairobi
  • Last Updated May 18th, 2024 8:57 PM

Udikteta ulivyolemaza vita dhidi ya corona Tanzania

Na MWANDISHI WETU Mwezi Februari nilisafiri kutoka Uropa hadi Dar es Salaam, Tanzania. Ilikuwa ni safari ya kikazi ambayo pia...

Shehena ya chanjo ya corona yafika Kenya

Na CHARLES WASONGA HATIMAYE shehena ya kwanza ya chanjo ya Covid-19 iliwasili nchini Kenya Jumanne usiku na kupokewa na maafisa wakuu wa...

Chanjo ya corona kutua Nairobi Jumanne

Na CHARLES WASONGA HATIMAYE chanjo ya kudhibiti Covid-19 ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa hamu itawasili nchini mnamo Jumanne usiku, Machi...

Maelfu waandamana kupinga ubaguzi katika utoaji wa chanjo ya corona

Na AFP MAELFU ya raia Jumamosi waliandamana katika miji kadha nchini Argentina kulaani sakata ya utoaji chanjo ya corona kwa mapendeleo...

Hofu maambukizi ya Covid yakianza kuongezeka tena

Na BENSON MATHEKA MATUMAINI ya Wakenya kwamba agizo la kutotoka nje usiku litaondolewa hivi karibuni ili warudie shughuli zote za...

Wanajeshi wakataa kupokea chanjo ya corona

NA AFP WASHINGTON, AMERIKA IDADI kubwa ya wanajeshi wamekataa kupokea chanjo ya virusi vya corona licha ya maambukizi kuongezeka...

Hofu wanafunzi hawavai maski wakiwa shuleni

Na WAANDISHI WETU WANAFUNZI wameacha kuvalia barakoa wakiwa shuleni au kuzivaa visivyo hatua ambayo inawaweka katika hatari ya...

Askofu asema corona imewapa Wakenya fursa ya kumtambua Mola

Na Stephen Munyiri ASKOFU wa Kanisa Katoliki Dayosisi ya Nyeri Anthony Muheria amesema kuwa ujio wa virusi vya corona umewafungua macho...

TZ yapuuza madai hospitali zimelemewa na wagonjwa wa corona

NA AFP SERIKALI ya Tanzania imekanusha vikali habari zinazoenezwa katika mitandao ya kijamii kwamba hospitali za nchi hiyo zimeshindwa...

Tanzania yakana mpango wa kufungia raia makwao kuepuka corona

Na MASHIRIKA SERIKALI imesema kuwa Watanzania wanaotaka kujifungia nyumbani kwa hiari kuepuka maambukizi ya virusi vya corona wako huru...

Wakazi wafurahia corona kupunguza ulevi vijijini

NA KALUME KAZUNGU WAKAZI wa mitaa ya Wiyoni na Mararani, kisiwani Lamu wamesifu kipindi cha janga la Covid-19 kwa kusaidia kupunguza...

Maaskofu wafunguka kuhusu corona Tanzania, wataka wananchi waambiwe ukweli

LOUIS KALUMBIA NA MASHIRIKA Viongozi wa makanisa nchini Tanzania sasa wanataka waumini wapewe habari sahihi kuhusu maambukizi ya corona...