• Nairobi
  • Last Updated May 17th, 2024 2:31 PM

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Misingi ya uteuzi wa lugha ya kufundishia kwenye taasisi za elimu

Na MARY WANGARI KUNA ulinganifu wa lugha ya Kiswahili na Kiingereza, lugha ya kufundishia katika ngazi zote za elimu, na lugha ya...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Maendeleo ya Kiswahili katika nyanja ya Sayansi na Teknolojia

Na MARY WANGARI TAFITI nyingi za wasomi anuwai mathalani Qorro (2005), Malekela (2003 & 2004), na Mwinsheikhe (2003), zinajadili kuwa,...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Matumizi ya Kiswahili kama lugha ya kufundishia

Na MARY WANGARI TUNAANZA kwa kuangazia mada kuhusu Kiswahili kama lugha ya kufundishia. Hii ni katika kujibu swali kutoka kwa msomaji...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Dhana ya lugha na utamaduni ikiwemo uhusiano uliopo

Na MARY WANGARI KWA kuzingatia Nadharia ya Sapir na Whorf, tunapata kwamba kuna uhusiano wa lugha na utamaduni katika...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Uhusiano uliopo kati ya lugha na jamii katika Kiswahili

Na MARY WANGARI KING'EI (2010), anasema kwamba kwanza, lugha ni zao la jamii na ni kipengele muhimu sana cha utamaduni wa jamii...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Mbali na lugha za mama, wasomi waandike pia kwa lugha asili

Na EVAN MWANGI NAMUUNGA mkono kwa dhati mtaalam wa fasihi Ngugi wa Thiong'o katika harakati zake za kuhifadhi na kukuza lugha za...

KAULI YA WALIBORA: Yamezuka mapuuza kwa fasihi zetu zinazosheheni umilisi usiopitwa na muda

NA PROF KEN WALIBORA Katika utangulizi wa kitabu chake Swahili Sayings, S. S. Farsi anasema kwamba kipera cha fasihi simulizi kiitwacho...

KAULI YA WALIBORA: Namshukuru Jagina Shamte kwa sahihisho kuhusu uwanja wa michezo wa Sheikh Abeid

Na PROF KEN WALIBORA MANMO wiki iliyopita nilipokea mwitiko kutoka kwa wasomaji maarufu wa makala yangu katika safu ya “Kina cha...

KAULI YA MATUNDURA: Ni muhimu kuitafitia kazi yoyote ya kiubunifu kabla ya kuiandika

Na BITUGI MATUNDURA Katika makala yangu ‘Uandishi wa kubuni hauhitaji nguvu za uchawi’ (Taifa Leo Juni 23, 2016) niliangazia jinsi...

WALENISI: Usawiri wa athari za ujinga na mifumo ya kibepari

Mwandishi: Katama Mkangi Mchapishaji: East African Educational Publishers Mhakiki: Wanderi Kamau Kitabu: Riwaya Jina la Utungo:...

KAULI YA MATUNDURA: Mkangi aliandika Walenisi kwa mafumbo kuepuka rungu la dola?

Na BITUGNI MATUNDURA Riwaya ya Walenisi (Katama Mkangi) ndiyo riwaya ya ‘kwanza changamano’ kuwahi kutahiniwa katika somo la fasihi...

KAULI YA WALIBORA: Kiswahili kitakwezwa tu kupitia ari na juhudi za wasemaji wake

Na PROF KEN WALIBORA Mhakiki wa Kinaijeria Obi Wali aliwahi kuuliza: “Kiingereza kingekuwa wapi kama waandishi wa Kiingereza wangeamua...