• Nairobi
  • Last Updated May 2nd, 2024 4:42 PM

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Lugha kama kitambulisho cha makundi ya wanajamii

Na CHRIS ADUNGO LUGHA inazidi kutegemewa pakubwa katika jitihada za kuleta mabadiliko na maendeleo kwa wanajamii na huwa na athari chanya...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Ukuaji wa Konsonanti na Irabu za Kiswahili

Na WANDERI KAMAU KATIKA utangulizi wa kitabu 'A Handbook of the Swahili Language', Askofu Adam Steere alijadili suala la tahajia au hati...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Nadharia ya Uzamaji katika kutatua changamoto za kutumia lugha ya kigeni kufundishia shuleni

Na MARY WANGARI WATAALAMU Skutnabb-Kangas na McCarty (2008) wanaeleza uzamaji kama utaratibu wa kurekebisha kasoro za watoto wanaopelekwa...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Matatizo yanayowakumba walimu kutokana na matumizi ya lugha ya kigeni katika kufundishia shuleni

Na MARY WANGARI TUNAANGAZIA changamoto zinazowakabili walimu kutokana na hali ya kukosa kutumia Kiswahili katika ufundishaji wa elimu ya...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Utahini wa Karatasi ya Kwanza (KCSE); Insha

Na ALEX NGURE LIFUATALO ni wasilisho la mwalimu Simon Ngige, mwandishi wa Upeo wa Insha, Kiswahili A+ na Kiswahili Encylopaedia, kwenye...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Nafasi ya sera katika upangaji lugha katika mataifa mbalimbali

Na MARY WANGARI KWA mujibu wa Macdonald (1990) nchini Botswana walimu walikuwa na changamoto ya kimawasilino kwa kuwa na ujuzi mdogo wa...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Athari za lugha ya kigeni kwa walimu, wanafunzi katika kuendeleza elimu

Na MARY WANGARI KWA mujibu wa watafiti kama vile Senkoro, uwezo wa kung’amua na kueleza mtazamo na hisia za ndani kuhusu maarifa ndiyo...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Manufaa ya kutumia Kiswahili kama lugha ya kufundishia

Na MARY WANGARI HEUGH na wenzake (2007) walibaini kwamba mafanikio yaliyoafikiwa ya wanafunzi kufaulu sana katika masomo ya sayansi na...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Vizingiti vinavyowakabili wanafunzi katika kupata maarifa ya elimu shuleni

Na MARY WANGARI MWANAISIMU Mekacha (2000), anatoa hoja kwamba lugha ya kufundishia inapokuwa haieleweki vizuri kwa walimu na wanafunzi,...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Changamoto za kutumia lugha ya kigeni katika kuwafundishia wanafunzi shuleni

Na MARY WANGARI WANAFUNZI na wafuatiliaji wengine, jinsi tulivyojifunza kipindi cha wiki jana ni kwamba kuna uhusiano mkubwa baina ya...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Tathmini ya kina kuhusu Isimu ya Lugha ya Kiswahili

Na MARY WANGARI DHANA ya isimu inaweza kufafanuliwa kama taaluma ya sayansi inayojishughulisha na masuala ya lugha. Tunaposema kwamba...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Nafasi ya Kiswahili kama lugha ya kufundishia Afrika Mashariki

Na MARY WANGARI KULINGANA na mjadala wetu wa awali, ni bayana kwamba ili mwanafunzi apate maarifa na uwezo wa kujitambua na kung’amua...