• Nairobi
  • Last Updated May 1st, 2024 10:08 PM

Wakuu wa KEBS kizimbani kwa jaribio la kuua Wakenya

Na Richard Munguti MAAFISA wakuu katika Shirika la Ubora wa Bidhaa (KeBS), akiwemo Mkurugenzi Mkuu, Charles Ogega Ongwae na maafisa...

Ongwae anaswa kuhusu mbolea feki, achunguzwa kwa sukari ya sumu

Na CHARLES WASONGA  MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Kukadiria Ubora wa Bidhaa (KEBS) Charles Ongwae Ijumaa alikamatwa kuhusiana na kashfa...

TAHARIRI: Wauzao bidhaa feki ni wauaji, wanyongwe!

Na MHARIRI NI jambo la kusikitisha sana kuwa tamaa ya utajiri wa haraka imewafanya baadhi ya Wakenya kuingiwa na ushetani kiasi cha...

Mkurugenzi kizimbani kwa kughushi stempu za KEBS

Na RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa kampuni moja ya kutengeneza vyakula alishtakiwa Ijumaa kwa kuweka stempu ya shirika la ukadiriaji ubora...

KEBS kuharibu bidhaa za thamani ya Sh250 milioni kwa kukosa ubora

Na BERNARDINE MUTANU BIDHAA za thamani ya Sh250 milioni humu nchini zitaharibiwa baada ya kukataa kufikisha upeo wa ubora. Bidhaa...

TAHARIRI: KEBS na ACA zimeshindwa kukabiliana na bidhaa feki?

Na MHARIRI TANGU mvua ya msimu ilipoanza kunyesha wiki mbili zilizopita, mijengo kadhaa imeporomoka Kiambu, Nairobi na Mombasa. Sababu...