• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 9:55 AM

Gumo: Alikuwa akikohoa wapinzani wanachemua

KWA HISANI YA KYB KWA watu wengi, Fredrick Fidelis Gumo, au Fred Gumo anavyofahamika zaidi, ni upanga unaokata kuwili. Aina ya mtu...

MBIYU KOINANGE: Mwanasiasa aliyetuliza hasira za Mzee Kenyatta

THE KENYA YEAR BOOK Peter Mbiyu Koinange alikuwa miongoni mwa wanafunzi wa kwanza kusomea katika Shule ya Upili ya Alliance mnamo 1926...

STANLEY OLOITIPTIP: Simba wa siasa za Maasai kabla na baada ya uhuru

Na KYEB KUANZIA mwaka wa 1963 na 1983, Stanley Shapashina Ole Oloitipitip alitawala siasa za janibu za Wamaasai kama simba kwani alikuwa...

RONALD NGALA: Mwanasiasa wa Pwani anayeshikilia rekodi ya uzalendo hadi leo

Na KYEB WAKIORODHESHWA wanasiasa ambao uwepo wao ulihisiwa pakubwa katika ukanda wa Pwani kabla na baada ya uhuru, basi jina Ronald...

MWANAMKE MWELEDI: Ukoloni uliwasha moto wa uandishi

Na KENYA YEARBOOK ALISHUHUDIA mojawapo ya nyakati ngumu sana katika historia ya Kenya ambapo utamaduni wa jamii asili uligongana ana kwa...

TOM MBOYA: Mtetezi wa haki za wafanyakazi nchini na kimataifa

Na KENYA YEARBOOK Thomas Joseph Mboya atakumbukwa kama mmoja wa mawaziri machachari na wajasiri ambao Kenya imewahi kupata. Wakati wa...

MWAI KIBAKI: Mwanasiasa msomi aliyevumilia na kukwea ngazi hadi Ikulu

Na KENYA YEARBOOK IWAPO majina ya viongozi walioiletea nchi hii sifa yataorodheshwa kwenye kumbukizi ya taifa, basi jina la Rais Mstaafu...

DANIEL MOI: Twiga aliyeweza kuona mbali

NA KENYA YEARBOOK DANIEL Toroitich arap Moi, alizaliwa Septemba 2, 1924, katika kijiji cha Kurieng’wo, Sacho, wilayani Baringo....

MWANAMKE MWELEDI: Ni daktari wa moyo mwenye ndoto kuu

Na KENYA YEARBOOK JINA lake sio geni katika ulimwengu wa matibabu kwani yeye ni mmojawapo wa madaktari wa moyo wanaotambulika hapa...

Murumbi mwanasiasa aliyejitolea kutetea wanyonge

NA KENYA YEARBOOK JOSEPH Zuzarte Murumbi aliteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa pili nchini mnamo Mei, 1966 baada ya Rais Jomo Kenyatta...

MWANAMKE MWELEDI: Ni gwiji wa mahusiano mema

Na KENYA YEARBOOK Novemba mwaka wa 2013, jarida la The New African lilimuorodhesha miongoni mwa watu 100 wenye ushawishi mkubwa barani...

MWANASIASA NGANGARI: Ushawishi wa Jaramogi Oginga ulivyonata katika siasa za Kenya

NA KENYA YEARBOOK NI dhahiri kwamba Oginga Odinga alikuwa kigogo wa siasa za upinzani kabla na baada ya uhuru mnamo 1963. Tangu...