• Nairobi
  • Last Updated May 16th, 2024 8:50 PM

Wakazi wa Mokowe kunufaika na mradi wa ujenzi wa vyoo

Na KALUME KAZUNGU ZAIDI ya wakazi 5,000 wa mji wa Mokowe, Kaunti ya Lamu watanufaika na mradi uliozinduliwa wa Sh17.2 milioni wa ujenzi...

Ajeruhiwa baada ya boti kushika moto baharini

Na KALUME KAZUNGU MWANAMUME amejeruhiwa boti alimokuwa amekaa iliposhika moto ghafla na kulipuka mjini Lamu. Bw Shafi Mawiyawiya...

Watumiaji barabara ya Lamu-Mombasa walalamikia ongezeko la vizuizi vya maafisa

Na KALUME KAZUNGU MADEREVA na abiria wa mabasi ya usafiri wa umma yanayotumia barabara kuu ya Lamu kuelekea Mombasa wanaiomba idara ya...

NMK yapuuzilia mbali madai huenda Lamu ikaondolewa kutoka orodha ya hifadhi za ukale

Na KALUME KAZUNGU HALMASHAURI ya Makavazi na Turathi za Kitaifa nchini (NMK) imeondoa hofu iliyopo kwamba huenda mji wa kale wa Lamu...

‘Inahitajika dharura kuokoa elimu ya mtoto wa kiume Lamu’

Na KALUME KAZUNGU OFISI ya Idara ya Elimu, Kaunti ya Lamu imeelezea hofu yake katika kile imetaja ni kusahaulika kwa elimu ya mtoto wa...

Wakazi wa Mokowe katika kaunti ya Lamu wakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji

Na KALUME KAZUNGU ZAIDI ya wakazi 3,000 wa kijiji cha Mokowe na maeneo jirani, Kaunti ya Lamu wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji...

Familia kadhaa zafurushwa kutoka kipande cha ardhi kinachodaiwa kumilikiwa na chuo kikuu

Na KALUME KAZUNGU FAMILIA zaidi ya 10 zinahangaika bila makao Kaunti ya Lamu baada ya kufurushwa kutoka kwa kipande cha ardhi chenye...

Lamu ni shwari na salama kwa uwekezaji – viongozi

Na KALUME KAZUNGU SERIKALI ya Kaunti ya Lamu na ile ya kitaifa zinawarai wawekezaji kupuuzilia mbali matukio ya hivi majuzi ambapo eneo...

Washukiwa wa al-Shabaab washambulia basi la kuelekea Lamu, waua watu watatu

Na KALUME KAZUNGU WASHUKIWA wa al-Shabaab wameshambulia basi la kuelekea Lamu eneo la Nyongoro katika Kaunti ya Lamu, ambapo wameua watu...

Biashara ya makaa kwa kiasi kikubwa inaficha al-Shabaab, asema Elungata

Na KALUME KAZUNGU MSHIRIKISHI wa Usalama Ukanda wa Pwani, John Elungata, ameamuru maafisa wa Kutunza Misitu (KFS) kuhakikisha shughuli...

Serikali yatangaza ufunguzi wa shule tano za Boni

Na KALUME KAZUNGU NI afueni kwa mamia ya wanafunzi wa shule za msingi zilizoko Boni, Kaunti ya Lamu baada ya serikali ya kitaifa...

KURUNZI YA PWANI: Kilio cha wataalamu wa kutengeneza maboti Lamu

Na KALUME KAZUNGU MAFUNDI wa kutengeneza maboti na mashua katika maeneo mengi ya kaunti ya Lamu wamelalamikia ukosefu wa vifaa muhimu na...