Tag: man united
- by T L
- February 16th, 2022
Man-United wakomoa Brighton na kuingia nne-bora EPL
Na MASHIRIKA CRISTIANO Ronaldo alimaliza ukame wa mechi sita bila bao kwa kuongoza waajiri wake Manchester United kuzamisha Brighton 2-0...
Huyu Fofana “The Rock” apigiwa mahesabu na Man-United
Na GEOFFREY ANENE WESLEY Fofana ni mmoja wa makinda wanaoongoza katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa kuchezeshwa sana na klabu zao,...
‘Red Devils’ wa zamani wanavyoisaidia Inter
Na MASHIRIKA VIONGOZI wa Ligi Kuu ya Italia (Serie A), Inter Milan, walifungua mwanya wa alama nne kileleni baada ya kuwapiga Genoa 3-0...
Mvua ya mabao Old Trafford
NA MASHIRIKA MANCHESTER, Uingereza MANCHESTER United walisawazisha rekodi ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa kutinga mabao tisa...
Bruno Fernandes aweka rekodi EPL
Na MASHIRIKA KIUNGO matata wa Manchester United na timu ya taifa ya Ureno, Bruno Fernandes, ametawazwa Mchezaji Bora wa Mwezi katika...
- by adminleo
- July 6th, 2020
Matic kuchezea United hadi 2023
Na CHRIS ADUNGO KIUNGO Nemanja Matic, 31, amerefusha kandarasi yake kambini mwa Manchester United hadi Juni 2023. Nyota huyo mzawa wa...
- by adminleo
- June 1st, 2020
Ighalo kuendelea kuwa ‘Shetani Mwekundu’ kwa miezi 7 zaidi
Na CHRIS ADUNGO FOWADI Odion Ighalo amerefusha muda wake wa kuhudumu kambini mwa Manchester United kwa kipindi miezi saba zaidi hadi...
- by adminleo
- July 17th, 2019
Man United yakalifisha Leeds United 4-0
NA CECIL ODONGO MANCHESTER United FC ilionyesha mchezo wa juu na kuichabanga Leeds United 4-0 kwenye mechi ya kirafiki iliyoandaliwa...
- by adminleo
- May 20th, 2019
Lingard ni kichekesho kingine pale Old Trafford
NA JOB MOKAYA BEKI wa kulia wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold amekuwa mchezaji aliyeisaidia sana Liverpool msimu huu hadi kuichochea...
- by adminleo
- May 16th, 2019
Man United watamani Bissaka na Van Aanholt wa Crystal Palace
MASHIRIKA NA GEOFFREY ANENE Manchester United inapanga kuvamia ngome ya Crystal Palace kutafuta huduma za mabeki Aaron Wan-Bissaka na...
- by adminleo
- May 15th, 2019
Man United itahangaisha wapinzani msimu ujao – Lingard
MASHIRIKA NA CECIL ODONGO BAADA ya msimu mbaya, kiungo wa Manchester United Jesse Lingard amesisitiza kwamba timu hiyo...
- by adminleo
- April 21st, 2019
Mashetani Wekundu wazikwa na Everton
NA CECIL ODONGO KLABU ya Everton Jumapili ilitanua mabawa yake dhidi ya mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) Manchester...