• Nairobi
  • Last Updated May 2nd, 2024 8:55 PM

NGILA: Kamera za kidijitali zitapiga vita ujangili, ukataji wa miti

Na FAUSTINE NGILA HATUA ya kampuni moja ya Amerika kuwekeza kwenye teknolojia ya kuisaidia Kenya katika vita dhidi ya ujangili imefika...

WASONGA: Ripoti kuhusu utendakazi wa wabunge ina mianya mingi

Na CHARLES WASONGA MAJUKUMU makuu ya wabunge ni utungaji sheria, uwakilishi na uchunguzi wa utendakazi wa serikali kuu inayoongozwa na...

ODONGO: Wanaopinga Ruto wauze sera kujifaa kisiasa nchini

Na CECIL ODONGO MATAMSHI ya Gavana wa Kitui Charity Ngilu kuwa upinzani unafaa uungane kwa lengo la kumzuia Naibu Rais Dkt William Ruto...

WANGARI: Mageuzi katika sekta ya kilimo yazingatie pia usalama wa raia

Na MARY WANGARI MISWADA kadhaa imepitishwa ili kufanyia mageuzi sekta ya kilimo na kuboresha maslahi ya wakulima ambao wamehangaika kwa...

NYABOLA: Vyama vilikiuka sheria ya faragha-data, viadhibiwe

Na NANJALA NYABOLA WAKENYA walipigwa na butwaa walipogundua kwamba wamesajilishwa na vyama vya kisiasa bila ya wao kujua au...

MUTUA: Huenda Museveni ana nia mbovu inayoleta maafa

Na DOUGLAS MUTUA JARIBIO la kumuua mmoja kati ya wanajeshi na mawaziri maarufu zaidi nchini Uganda siku chache zilizopita limewaacha...

KAMAU: Uongozi bora ndio wenzo wa kufuta dhuluma za tangu jadi

Na WANDERI KAMAU MIEZI minne baada ya mauaji ya mwanasiasa Tom Mboya mnamo Julai 5, 1969, Mzee Jomo Kenyatta alifanya ziara ya siku...

MATHEKA: Rais hakufaa kutumia sherehe kutishia mahakama

Na BENSON MATHEKA KAULI ya Rais Uhuru Kenyatta kwamba Mahakama imemsukuma hadi ukutani ni hatari hasa kutoka kwa kiongozi wa nchi. Ni...

WASONGA: Upimaji corona Kisumu uanzishwe mara moja!

Na CHARLES WASONGA SERIKALI ya Kitaifa inafaa kuanzisha mpango maalum wa kuwapima watu corona, kwa wingi, katika kaunti ya Kisumu...

KINYUA BIN KING’ORI: Maendeleo yasitolewe kwa marafiki kama peremende

Na KINYUA BIN KING'ORI KWA mujibu wa Katiba ya 2010, ni wajibu wa serikali ya kitaifa sawia na za magatuzi kutekeleza miradi inayofaidi...

ONYANGO: Serikali iongeze kasi ya utoaji chanjo ya corona

Na LEONARD ONYANGO HUKU Uchaguzi Mkuu wa Agosti 2022 ukikaribia, shughuli za kisiasa zinatarajiwa kuongezeka katika miezi ya karibuni na...

WASONGA: Muturi asalie msemaji wa Mlimani, asiwanie urais 2022

Na CHARLES WASONGA RIPOTI kwamba Spika wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi atawania urais katika uchaguzi mkuu wa 2022 ni ithibati tosha...