• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 9:35 PM

Yatani aomba seneti kuidhinisha mkopo wa hadi Sh9 trilioni

Na CHARLES WASONGA KAIMU Waziri wa Fedha Ukur Yatani ameitaka seneti kuunga mkono pendekezo la serikali la kutaka iruhusiwe kuchukua...

Serikali yaonywa kutoa mikopo ya simu kutatupa Wakenya wengi CRB

NA SAMMY WAWERU Hatua ya serikali kutoa mikopo kupitia mtandao inahitaji mipango maalum. Aliyekuwa mbunge wa Gem Jakoyo Midiwo ameonya...

Vijana wanalipa mikopo bila matatizo – Ripoti

NA MARY WAMBUI RIPOTI ya Hazina ya Mikopo ya Vijana (YEF) imeonyesha kwamba idadi ya vijana wanaochukua mikopo hiyo na kuilipa kwa...

Serikali yaelekeza macho Amerika kusaka wafadhili

Na VALENTINE OBARA MASUALA kuhusu ustawi wa kiuchumi, uwekezaji na vita dhidi ya ufisadi yanatazamiwa kupewa kipaumbele maafisa wakuu wa...

Wakazi wa Kiandutu wadhihirisha ‘tukipata mikopo tunaweza’

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa kijiji cha Kiandutu na vitongoji vyake wamehimizwa kujiunga pamoja ili waweze kupokea mikopo ya Uwezo...

Wakazi wa Thika wahamasishwa jinsi wanavyoweza kutumia mikopo kuboresha maisha

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Thika walikongamana pamoja mnamo Jumanne ili kuhamasishwa kuhusu umuhimu wa kupokea mikopo ya kufanyia...

OBARA: Serikali iingilie kati mikopo hii ya kidijitali

Na VALENTINE OBARA KWA miaka kadhaa sasa, Kenya imeshuhudia maendeleo makubwa katika utoaji wa huduma za kifedha. Ustawishaji wa...

Helb yafafanua alichomaanisha Waziri Amina Mohamed

Na CHARLES WASONGA BODI ya kutoa Mikopo kufadhili Elimu ya Juu (Helb) imethibitisha kuwa itatumia maafisa wake kuwaandamana walionufaika...

Kenya sasa yakopa mabilioni kutoka EU

Na BERNARDINE MUTANU Licha ya kuwa Kenya ina deni kubwa, serikali ilitia sahihi mkopo wa Sh520 bilioni kutoka kwa Muungano wa Ulaya...

Serikali yajiandaa kukopa mabilioni tena

Na VALENTINE OBARA WAKENYA wataendelea kukabiliwa na ugumu wa kimaisha kwa kipindi kirefu zaidi kutokana na uwezekano wa ushuru na...

Wanafunzi vyuoni kutumia kadi za kidijitali kupokea mikopo ya HELB

NA PETER MBURU Jumla ya wanafunzi 69, 151 ambao watajiunga na vyuo vikuu kuanzia Septemba mwaka huu watapokea pesa za mkopo wa HELB kwa...

Agizo la HELB laibua hofu katika Chuo Kikuu cha Moi

Na DENNIS LUBANGA CHUO Kikuu cha Moi kimejipata katika njiapanda baada ya Halmashauri ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HELB) kuwaagiza...