• Nairobi
  • Last Updated May 9th, 2024 7:50 AM

Wito serikali kuu isitishe uuzaji viwanda vya miwa

DENNIS LUBANGA na BARNABAS BII VIONGOZI kutoka maeneo ya kukuza sukari katika ukanda wa Magharibi, wanaitaka serikali kusimamisha...

AKILIMALI: Mhadhiri anayekuza miwa jijini na kuunda hela akiuza sharubati

Na PETER CHANGTOEK SIKU moja alipokuwa akiendesha gari katika barabara kuu ya Thika, Daktari Kennedy Ongaro alilisimamisha gari lake...

Hisia mseto kuhusu pendekezo la kuunganisha kampuni za miwa

Na ELIZABETH OJINA PENDEKEZO la kuunganisha kampuni tatu za miwa katika eneo la Nyando limepokelewa kwa hisia mseto miongoni mwa wadau...

Wakuzaji miwa wakataa jopo la kufufua sekta

Na VICTOR RABALLA WAKULIMA wa miwa wameilaumu serikali wakidai imewapuuza katika majadiliano yanayoendelea kuhusu namna ya kuleta...

Malipo yaja, serikali yajaribu kutuliza wakulima wa miwa

Na SHABAN MAKOKHA WAKULIMA wa miwa ambao waliwasilisha miwa yao kwa viwanda vya sukari vinavyomilikiwa na serikali watalipwa fedha zao...

Wakuzaji miwa walia kampuni kufungwa ghafla

Na VICTOR RABALLA Wakulima wa miwa Alhamisi walisema kufungwa ghafla kwa kampuni ya sukari ya Kibos kumewaacha taabani. Wakulima hao...

USWAHILINI: Ni kweli miwa yaweza kutumiwa kudhibiti Chikungunya?

Na LUDOVICK MBOGHOLIi Jamii inapokabiliwa na ugonjwa unaozuka ghafla na kuathiri watu , inatafuta mbinu kuhakikisha hauenei ukasababisha...