• Nairobi
  • Last Updated May 19th, 2024 10:50 AM

MWANASIASA NGANGARI: Waiyaki: Mwanadiplomasia na mwandani wa Kenyatta

Na KENYA YEAR BOOK DKT Munyua Waiyaki ambaye alikuwa mwanasiasa na mwanadiplomasia kabla na baada ya uhuru, anakumbuka miaka ya nyuma...

MWANASIASA NGANGARI: Maisha ya waziri Towett yalivyojaa vituko na ucheshi

Na KENYA YEAR BOOK DKT Taaitta Kipyegon arap Toweet alizaliwa mnamo 1925. Alianzia masomo yake katika shule ya msingi ya Litein,...

MWANASIASA NGANGARI: Mlezi wa wanasiasa tajika Pwani

Na KENYA YEAR BOOK TANGAZO la saa saba mchana la kitengo cha habari cha Rais kilichojulikana kama Presidential Press Unit la kufutwa kwa...

MWANASIASA NGANGARI: Mwanasheria Mkuu aliyekuwa na ushawishi kwa Kenyatta, Moi

Na KENYA YEAR BOOK CHARLES Mugane Njonjo anakumbukwa kama Mwanasheria Mkuu ambaye alikuwa na ushawishi mkubwa kwenye serikali ya Mzee...

MWANASIASA NGANGARI: Ngala alitamba katika siasa za Ukambani

Na KENYA YEAR BOOK (KYB) ELIUD Ngala Mwendwa aliwahi kutawala siasa za iliyokuwa Wilaya ya Kitui (sasa kaunti ya Kitui), kama...

MWANASIASA NGANGARI: Kiongozi aliyetimua Jaramogi kupitia Kongamano la Limuru

Na KYEB JEREMIAH Joseph Mwaniki Nyagah anakumbukwa kama mwanasiasa aliyestaafu kutoka katika ulingo wa siasa na kwenda kuishi maisha ya...

MWANASIASA NGANGARI: Ndiye alikuwa ‘Mfalme wa Ameru’ kwa kipindi kirefu

Na KYEB MIAKA ya mwisho ya uhai wake, Jackson Harvester Angaine alijijenga kama “Mfalme wa Meru”, akikumbukwa kama waziri ambaye...

MWANASIASA NGANGARI: Mzungu wa kwanza kuwa waziri baada ya uhuru

Na KEYB ROY Bruce McKenzie alikuwa waziri wa pekee wa serikali ya ukoloni aliyehifadhi kiti chake Kenya ilipopata uhuru na alishikilia...