• Nairobi
  • Last Updated May 7th, 2024 2:33 PM

MWANASIASA NGANGARI: Waziri aliyewatimua wafanyabiashara wa Kihindi mashambani

Na KYEB ELIUD Timothy Mwamunga alikuwa mwanasiasa mtajika kutoka Pwani kabla na baada ya Kenya kupata uhuru ambaye pia alihudumu kwa...

MWANASIASA NGANGARI: Msomi aliyeteuliwa na Mzee Kenyatta kutuliza jamii ya Waluo wakati Mboya aliuawa

Na KYEB DKT Joseph Gordon Odero-Jowi anakumbukwa kwa kutochangia lolote katika ulingo wa siasa. Alihudumu kama mbunge wa eneo la...

MWANASIASA NGANGARI: Omamo: Mtaalamu wa kilimo, siasa

Na KEYB SAWA na jina lake la msimbo, ‘Kaliech’ (linalomaanisha kama Ndovu kwa lugha ya Kijaluo), mchango wa Dkt William Odongo Omamo...

MWANASIASA NGANGARI: Zacharia Onyonka alifariki kabla ya kuwa Waziri wa Fedha, jambo alilotamani sana

Na KEYB MAREHEMU Dkt Zacharia Theodore Onyonka alipata umaarufu mkubwa katika jamii ya Wakisii kwa misingi kwamba ni mmoja wa wanasiasa...

MWANASIASA NGANGARI: Achieng Oneko, shujaa aliyetetea ukombozi kwa kinywa kipana

Na KYEB MPIGANIAJI uhuru Ramogi Achieng Oneko atakumbukwa kwa kuwa mwanasiasa mwenye msimamo thabiti, aliyekuwa tayari kufa akiitetea...

MWANASIASA NGANGARI: Gichuru, mzalendo aliyeibuka mwiba kwa wakoloni

Na KENYA YEAR BOOK HISTORIA ya taifa hili haiwezi kuandikwa bila jina la James Samuel Gichuru, Waziri wa kwanza wa Fedha baada ya Kenya...

MWANASIASA NGANGARI: Waziri Otiende alivyoweka msingi wa elimu

Na KEYB WAKATI chama cha Kenya African Union (KAU) kilipobuniwa miaka ya 1940, Otiende alikuwa mmoja wa wasomi waliotoa ushauri ambao...

MWANASIASA NGANGARI: Joseph Otiende: mwalimu maafuru na mpiganiaji uhuru

Na KEYB JOSEPH D. Otiende alikuwa mwalimu, afisa wa utawala, mwanasiasa, mpiganiaji uhuru, mbunge na waziri na angali anahusika na...

MWANASIASA NGANGARI: Kiano: msomi aliyetetea wafanyabiashara nchini

Na KENYA YEAR BOOK DKT Julius Gikonyo Kiano alikuwa msomi na shujaa wa kupigania uhuru. Yeye ndiye Mkenya wa kwanza kupata shahada ya...

MWANASIASA NGANGARI: Mpenda amani na mpatanishi wa wanasiasa, viongozi

Na THE KENYA YEAR BOOK MWANASIASA Lawrence George Sagini alitawala siasa za eneo la Gusii kama simba anavyowala wanyama wa mwituni kwa...

MWANASIASA NGANGARI: Mbiyu: Mwanasiasa aliyetuliza hasira za Mzee Jomo Kenyatta

Na THE KENYA YEAR BOOK PETER Mbiyu Koinange alikuwa miongoni mwa wanafunzi wa kwanza kusomea katika Shule ya Upili ya Alliance mnamo...

MBIYU KOINANGE: Mwanasiasa aliyetuliza hasira za Mzee Kenyatta

THE KENYA YEAR BOOK Peter Mbiyu Koinange alikuwa miongoni mwa wanafunzi wa kwanza kusomea katika Shule ya Upili ya Alliance mnamo 1926...