• Nairobi
  • Last Updated May 1st, 2024 10:08 PM

Wakazi wa Lamu walia makali ya njaa, kiu

Na KALUME KAZUNGU ZAIDI ya wakazi 2,000 wa vijiji vya Pandanguo, Jima na Madina katika Kaunti ya Lamu wanakabiliwa na baa la njaa na...

Wanaokabiliwa na njaa wasajiliwa ili wasaidiwe

KNA na MAUREEN ONGALA Mamlaka ya Taifa ya kukabiliana na Ukame (NDMA), jana ilianza kuwasajili watu wanaokabiliwa na njaa Kaunti ya Tana...

Wakenya milioni 1.4 wanakabiliwana baa la njaa – Ripoti

Na STELLA CHERONO WATU milioni 1.4 wanakabiliwa na baa la njaa nchini Kenya, idadi ambayo ni maradufu ya idadi iliyoripotiwa mnamo 2020,...

Tisho la baa la njaa kutokana na ukosefu wa maji Lamu

NA KALUME KAZUNGU UHABA wa maji unaokumba vijiji vingi vya kaunti ya Lamu umewasukuma wakazi wengi kulala njaa katika wiki za hivi...

Asilimia 24 ya Wakenya hatarini kufa njaa

Na BENSON MATHEKA KENYA imeorodheshwa ya 84 miongoni mwa nchi 107 ulimwenguni ambazo raia wake wanakabiliwa na hali hatari ya...

Wakenya njaa viongozi wakipiga domo

NA MWANDISHI WETU HALI sio hali tena kwa mamilioni ya Wakenya wa kawaida kutokana na usimamizi mbaya wa uchumi chini ya utawala wa...

Njaa yatishia kusababisha vita Kaskazini mwa Kenya

Na JACOB WALTER WAKAZI wa maeneo ya Kaskazini mwa Kenya wanakabiliwa na tishio la baa la njaa ambayo huenda ikasabisha mapigano ya...

BENSON MATHEKA: Tuchunge utapia mlo usiwe janga la taifa

Na BENSON MATHEKA Ripoti kwamba idadi ya watoto wanaosumbuliwa na utapia mlo imeongezeka maeneo tofauti nchini inatia wasiwasi. Hii...

Himizo serikali na mashirika kuwapelekea msaada wakazi wa vijiji vya Boni wanaokabiliwa na baa la njaa

Na KALUME KAZUNGU WAKAZI wapatao 3,000 wa vijiji vya msitu wa Boni, Kaunti ya Lamu wanakabiliwa na njaa, hali ambayo imewasukuma wengi...

Baa la njaa laja corona ikienea – WHO

By BERNADINE MUTANU Huku Kenya ikiendeleza vita dhidi ya virusi vya corona, Wakenya wengi wameanza kukumbwa na baa la njaa huku watoto...

Wakenya wahofia njaa corona ikizidi

Na LEONARD ONYANGO IDADI kubwa ya Wakenya wanahofia kuwa watakosa chakula na mahitaji mengine muhimu endapo janga la virusi vya corona...

Serikali kuagiza magunia milioni nne ya mahindi kuepusha njaa

Na LEONARD ONYANGO SERIKALI imeidhinisha uagizaji wa magunia milioni nne ya mahindi kutoka nchi za nje ili kuzuia baa la njaa wakati...