• Nairobi
  • Last Updated May 2nd, 2024 6:39 PM

Magavana wataja njaa kuwa janga la kitaifa

 Na CHARLES WASONGA MAGAVANA wametofautiana na serikali ya kitaifa kuhusu idadi ya waathiriwa wa baa la njaa huku wakisema kuwa watu...

TAHARIRI: Hifadhi ya chakula ingetusaidia sana

NA MHARIRI Kutokana na tangazo la Idara ya Utabiri wa Hali ya Hewa nchini kuwa hakutakuwa na mvua yoyote msimu huu, wengi waliotarajia...

Wamalwa asema hali ya ukame sio mbaya nchini

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Ugatuzi Eugene Wamalwa amepuuzilia mbali madai kuwa hali ya kiangazi nchini ni mbaya sana. Akiongea...

Pombe kwa wenye njaa yazua ghadhabu

NA ERIC MATARA VIONGOZI wa kisiasa, watetezi wa haki za binadamu na maafisa wa afya sasa wanataka vyakula vya misaada vinavyotolewa kwa...

Rais apuuza njaa na kupanda kwa gharama ya maisha

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta Alhamisi alikwepa kuzungumzia suala la njaa nchini pamoja na kupanda kwa gharama ya maisha,...

TAHARIRI: Mabilioni ya kazi gani kama watu wafa njaa?

NA MHARIRI Habari zilizoshamiri wiki hii inayokamilika ni suala la njaa na haswa ripoti za vifo vilivyotokana na baa la njaa...

Njaa: Wabunge wa ODM wamsuta Ruto

Na CHARLES WASONGA WABUNGE wa upinzani wameitaka serikali ya kitaifa kuanzisha mikakati ya kudumu ya kukabiliana na ukame nchini huku...

Njaa: Kero za wafuatiliaji habari mitandaoni

Na PETER MBURU WAKENYA wana ghadhabu. Hii ni baada ya vuta nikuvute kati yao na viongozi wa serikali kuhusu baa la njaa linaloendelea...

Njaa: Red Cross yaomba msaada wa Wakenya

Na BERNARDINE MUTANU Shirika la Msalaba Mwekundu linaomba wananchi kulisaidia ili kuwalisha na kuwanywesha wakazi wa Turkana na maeneo...

Serikali yakana njaa imeua Wakenya, madaktari wataka uchunguzi ufanywe

MOHAMED AHMED Na AGGREY OMBOKI SERIKALI ikiongozwa na Naibu Rais William Ruto, imesisitiza hakuna Mkenya yeyote aliyepoteza maisha kwa...

Msaada wa Sonko kwa wanaotafunwa na njaa Turkana

Na PETER MBURU WAKATI viongozi wa serikali kuu za zingine za kaunti wakizidi kujitia hamnazo kuhusu hali ya kiangazi na njaa inayokumba...

Kaunti za Pwani zaanza kukabiliana na baa la njaa

Na SAMUEL BAYA BAADHI ya kaunti za Pwani sasa zimeanza kujiandaa vilivyo kukabiliana na baa la njaa na kiangazi. Tayari serikali ya...