• Nairobi
  • Last Updated May 18th, 2024 8:55 AM

Koplo Caroline Mango Atieno aachiliwa kwa dhamana ya Sh2 milioni

Na RICHARD MUNGUTI AFISA wa polisi, Koplo Caroline Mango Atieno amekanusha mashtaka 20 yanayohusu kukosa kulipa zaidi ya Sh8 milioni za...

Polisi waliofutwa waamriwa warejeshe sare

Na KNA POLISI wa akiba nchini (NPR) waliopokonywa silaha na serikali, sasa wameamrishwa kusalimisha sare zote walizo nazo. Kamishna...

Mwanajeshi, polisi 3 ndani kuhusiana na wizi wa Sh72m

Na STELLA CHERONO AFISA mmoja wa Jeshi la Kenya (KDF), na maafisa watatu wa polisi kutoka familia moja, wanazuiliwa kuhusiana na wizi wa...

Polisi wapoteza mamilioni ya wizi

Na BRIAN OCHARO KUNDI la maafisa wa polisi limo mashakani baada ya kukosa kuwasilisha mahakamani Sh25.9 millioni ambazo zilikuwa sehemu...

Polisi wahudumia mshukiwa wa ugaidi baada ya kumpiga risasi

Na WACHIRA MWANGI WAKAZI wa mtaa wa Tudor Mwisho, Kaunti ya Mombasa jana walistaajabishwa na jinsi polisi walivyoepuka kumuua mshukiwa...

Wanaoshukiwa kuiba Sh75m waachiliwa kwa Sh1m kila mmoja

Na RICHARD MUNGUTI WASHUKIWA sita wa wizi wa Sh75.9 milioni za benki ya Standard (SCB) kimabavu Jumatano waliachiliwa kwa dhamana ya Sh1...

Polisi Mungiki wanavyotesa wananchi

Na MWANDISHI WETU HUKU makundi ya wahalifu yakiendelea kuhangaisha raia, baadhi ya maafisa wa polisi wamebuni magenge yao ya kuchukua...

Polisi lawamani kwa kuua vijana maskini kiholela

Na BENSON MATHEKA KWA mara nyingine, polisi wamelaumiwa kwa kuwaua kiholela vijana kutoka mitaa masikini jijini Nairobi wakiwahusisha na...

Polisi wafurika mitandaoni kuelezea masaibu yao

Na VALENTINE OBARA MAAFISA wa polisi wamegeukia mitandao ya kijamii kulalamikia mazingira hatari ya kazi huku wakiwasuta wakubwa wao...

Mutyambai azima polisi waliozoea hongo katika vizuizi barabarani

Na CHARLES WASONGA INSPEKTA Jenerali wa Polisi Hillary Mutyambai Jumatano ameamuru kuondolewa kwa vizuizi na vituo vya ukaguzi wa magari...

Polisi lawamani kwa kuteketeza nyumba tisa

Na CHARLES WANYORO POLISI katika eneo la Igembe Kusini, Kaunti ya Meru, wamekosolewa vikali kwa madai ya kuchoma nyumba tisa kijijini...

Polisi ange kuzima njama za kigaidi

Na MARY WAMBUI MAAFISA wa polisi nchini wako macho kutokana na uwezekano wa kutokea kwa shambulizi la kigaidi kufuatia kukamatwa kwa...