• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 5:50 PM

Ramadhani yaanza bila sherehe za kawaida

Na MOHAMED AHMED WAUMINI wa dini ya Kiislamu kote nchini, wanatarajia kuanza mfungo wa mwezi wa Ramadhani leo Jumamosi bila shamrashamra...

Serikali yakataa kulegeza kanuni za kafyu mwezi wa Ramadhan

Na IBRAHIM ORUKO SERIKALI imekataa ombi la viongozi wa Waislamu la kutaka Wizara ya Afya ilegeze sheria za kafyu mwezi mtukufu wa...

Waislamu wataka misikiti ifunguliwe Ramadhan

Na MISHI GONGO BARAZA la maimamu na wahubiri nchini (CIPK), limeiomba serikali kufungua misikiti na kupunguza saa za kafyu katika mwezi...

Al Swafaa waibuka washindi wa Ramadhan Cup

Na JOHN KIMWERE Al Swafaa FC ilitawazwa mabingwa wa shindano la Ramadhan Cup 2019 baada ya kulaza Kibera Soccer mabao 3-1 kupitia...

Imamu atandika muumini katika msikiti wakiomba

TOM MATOKE na GERALD BWISA FUJO zilizuka katika msikiti mmoja mjini Kapsabet, Kaunti ya Nandi, baada ya Imamu kumtwanga magumi muumini...

NASAHA ZA RAMADHAN: Uislamu unaruhusu mume na mke kustarehe usiku wa Ramadhani

Na SHEIKH MOHAMED KHALIFA KWA jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu. Tunakutana tena baada ya mwaka mzima na leo...

Ramadhani yamgeuza Joho kuwa mhubiri

WINNIE ATIENO na MOHAMED AHMED GAVANA wa Mombasa Hassan Joho amejulikana kwa ujasiri wake wa kisiasa na kupambana na yoyote yule ambaye...

RAMADHAN: Tusiwasahau wasiojiweza katika mwezi huu wa kuliwazana

NA KHAMIS MOHAMED Hakika mwezi wa Ramadhani ni msimu wa kufanya kheri. Ni mwezi ambao Waumini huonyesha aina zote za kheri. Hutumia...

NASAHA: Ni nini hekima ya Waislamu kulazimika kufunga Ramadhani?

NA KHAMIS MOHAMED WAISLAMU wameingia tena katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Ni mwezi ambao unatoa taswira ya lengo la kuumbwa...

Uhuru kusherehekea Idd na Joho Mombasa

MOHAMED AHMED NA KAZUNGU SAMUEL RAIS Uhuru Kenyatta anatazamiwa kukutana na hasimu wake wa kisiasa Gavana Hassan Joho katika sherehe za...

Polisi waonya huenda Al-Shaabab watekeleze uvamizi Ramadhan

Na BERNARDINE MUTANU POLISI wamewatahadharisha Wakenya kuhusu uwezekano wa magaidi wa Al-Shabaab kutekeleza mashambulio wakati wa mwezi...