• Nairobi
  • Last Updated May 2nd, 2024 8:55 PM

Takwimu za sensa ni feki sana – Magavana

Na WAANDISHI WETU MATOKEO ya Sensa yaliyotolewa Jumatatu yameibua joto huku baadhi ya wanasiasa na wataalamu wakitilia shaka uhalisi...

PWANI: Wanawake waombwa kukubalia waume kuoa wake wengi

Na MOHAMED AHMED WANAWAKE wa Pwani wamehimizwa kuwakubalia waume zao kuoa wake zaidi ya mmoja ili kuwezesha kuongezeka kwa idadi ya watu...

Wakazi wa Kiambu wafurahia Sensa ya 2019

Na LAWRENCE ONGARO HUKU watu wengi wakilalamika kuhusu hesabu kamili ya sensa, iliyotangazwa na serikali, wakazi wengi wa Kaunti ya...

SENSA: Kila Mkenya anadaiwa Sh124,000

Na LEONARD ONYANGO MATOKEO ya Sensa yaliyotangazwa Jumatatu yamethibitisha kuwa kila Mkenya anadaiwa kiasi cha Sh124,000 ili kulipa...

SENSA: Mbona serikali inatudharau?, Tharaka-Nithi yawaka

NA CECIL ODONGO VIONGOZI kutoka kaunti ya Tharaka-Nithi wameapa kwenda mahakamani baada ya miezi sita ili kupinga matokeo ya idadi ya...

SENSA: Kaunti 14 zaongoza kwa idadi kubwa ya wanaume

NA MWANDISHI WETU JUMLA ya Kaunti 14 zina idadi kubwa ya wanaume kuliko wanawake, kulingana na matokeo ya sensa yaliyotolewa jana na...

SENSA: Idadi kubwa ya Wakenya huishi Rift Valley na Mlima Kenya

Na JUMA NAMLOLA ENEO la Rift Valley limo kifua mbele kupata mgao mkubwa wa maendeleo na usemi wa kisiasa baada ya kuandikisha idadi...

SENSA: Familia kubwa Mandera, Wajir, Marsabit na Garissa

Na VALENTINE OBARA KAUNTI zilizo Kaskazini Mashariki ya nchi zinaongoza kwa idadi ya watu wanaoishi katika nyumba moja. Ripoti ya...

SENSA: Pwani walegea chumbani

Na MOHAMED AHMED ENEO la Pwani limo kwenye hatari ya kuendelea kubaki nyuma kimaendeleo na kisiasa kutokana na wakazi wake kukosa kutia...

Viongozi wa Tharaka Nithi walalama kuhusu matokeo ya sensa

Na CECIL ODONGO na LAWRENCE ONGARO VIONGOZI wa Kaunti ya Tharaka Nithi sasa wanadai kwamba siasa zinazohusiana na Jopo la Maridhiano...

Maafisa walioshiriki sensa walalamikia kukosa malipo

Na MARY WANGARI KUNDI la maafisa wapatao 50 walioshiriki shughuli ya kuhesabu watu Agosti liliandamana Alhamisi kulalamikia dhidi ya...

SENSA: Hofu ya wanasiasa Mlima Kenya

Na MWANGI MUIRURI HAIJULIKANI hasa ni kwa msingi gani ambapo wanasiasa wengi wa Mlima Kenya hukesha wakilalamika kuwa “idadi zetu -...