• Nairobi
  • Last Updated May 19th, 2024 9:01 PM

VITUKO UGHAIBUNI: Mwanamume afariki lojing’i akilamba uroda

Na VALENTINE OBARA LIRA, UGANDA POLISI wanachunguza kifo cha mwanamume mwenye umri wa miaka 38 aliyefariki katika chumba cha kukodisha...

VITUKO UGHAIBUNI: Wanafunzi wanaotuonyesha mapaja wanatutesa – Mhadhiri

Na VALENTINE OBARA KAMPALA, UGANDA MHADHIRI wa kiume katika Chuo Kikuu cha Makerere amelaumu wanafunzi wa kike kwa kuwatia wahadhiri...

Hamtakamatwa tena na polisi wa Uganda, serikali yahakikishia wavuvi Ziwa Victoria

Na BARACK ODUOR SERIKALI imewahakikishia wavuvi katika Ziwa Victoria kwamba watapewa ulinzi dhidi ya kuhangaishwa na kukamatwa na...

Wanafunzi 23 waliofumaniwa wakishiriki ngono wafukuzwa chuoni

CHARLES WASONGA na DAILY MONITOR CHUO Kikuu cha Kiislamu nchini Uganda kimefukuza kwa muda wanafunzi 23 kwa tuhuma za  kushiriki...

Mganda Chesang’ avunja utawala wa Kenya mita 10,000

Na GEOFFREY ANENE MGANDA Stella Chesang’ amevunja utawala wa Kenya katika mbio za mita 10,000 za Michezo ya Jumuiya ya Madola uliokuwa...

Watumizi wa mitandao ya kijamii Uganda kutozwa ushuru wa Sh100 kila siku

DAILY MONITOR na CHARLES WASONGA WATUMIZI mitandao  ya kijamii nchini Uganda sasa watatozwa ushuru mpya ili kuzuia kile ambacho Rais...

Waholanzi sasa ndio wateja wakuu wa bidhaa za Kenya

Na BERNARDINE MUTANU TAIFA la Uholanzi limekuwa mwagizaji wa pili mkubwa zaidi ya bidhaa za Kenya, kwa kuipiku Uganda ambayo awali...

Redio 24 Uganda zafungwa kwa kupeperusha matangazo ya uchawi

Na BENSON MATHEKA TUME  ya Mawasiliano ya Uganda (UCC), imeagiza vituo 24 vya redio vifungwe mara moja kwa kupeperusha matangazo...

Wavuvi wa Kenya wavamiwa tena na polisi wa Uganda

Na KNA WAVUVI 20 wa Kenya walivamiwa Alhamisi usiku na kunyang’anywa taa zao zinazokadiriwa kuwa za thamani ya Sh70,000 na maafisa wa...