• Nairobi
  • Last Updated May 17th, 2024 2:31 PM

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Hatua na nadharia muhimu katika kujifunza na ufundishaji wa lugha

Na MARY WANGARI TUNAENDELEZA mada kuhusu mchakato wa kujifunza pamoja na kufundisha lugha ya Kiswahili. Jinsi tulivyofafanua awali,...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Matumizi ya vihisishi katika sajili isiyo rasmi

Na MARY WANGARI AGHALABU mazungumzo ya kawaida huandamana na matumizi ya vihisishi kama vile eeh! mmh! aah! Vihisishi vilivyozoeleka...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Kuzungumza au kuwaza kwa haraka na kubadili msimbo

Na MARY WANGARI Kuzungumza au kuwaza kwa haraka AGHALABU mtu anapokuwa na hisia kama vile furaha au hasira, hulazimika kuzungumza kwa...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Kiini cha makosa katika lugha

NA MARY WANGARI BAADHI ya visababishi vya makosa katika lugha ni jinsi ifuatavyo: Maumbo Baadhi ya watu katika jamii hupuuza mofu...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Uhusiano uliopo kati ya Isimujamii na taaluma nyinginezo

Na MARY WANGARI Uhusiano kati ya Isimujamii na Saikolojia TAALUMA za isimujamii na saikolojia hushughulikia swala la mielekeo...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Tathmini ya asili na miundo mbalimbali ya methali

Na WANDERI KAMAU METHALI ni kifungu cha maneno yanayotumiwa pamoja kisanii kwa njia ya kufumba au kutolea mfano na huchukua maana pana...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Mchango wa Mwanafalsafa Aristotle katika ukuzaji Fasihi

Na WANDERI KAMAU ARISTOTLE alikuwa mwanafuzi wa Plato. Alijiunga na chuo cha Plato katika mwaka wa 367KK. Kitabu chake mashuhuri kuhusu...

Tanzia katika Fasihi: Kauli za wanafalsafa

Na WANDERI KAMAU MABADILIKO mengi yameipitikia dhana ya tanzia tangu ilipozungumziwa na Mwanafalsafa Aristotle. Jambo muhimu...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Kukua na kuenea kwa Kiswahili nchini Tanzania baada ya uhuru

Na ALEX NGURE NILIPOZURU Dar Tanzania mwaka 2018 niligundua kwamba Tanzania imeonekana kukipatia Kiswahili hadhi na heshima hata kabla ya...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Njia faafu ya kulitanguliza somo la Fasihi Andishi kwa wanafunzi

Na CHRIS ADUNGO KABLA ya kuwatanguliza wanafunzi katika somo la Fasihi Andishi na kuanza kusoma kitabu chochote kile, ni vyema kwa mwalimu...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Mazingatio makuu katika ufunzaji wa ufupisho

Na WANDERI KAMAU UFUPISHO ni mojawapo ya mihimili muhimu katika ufundishaji wa uandishi wa muhtasari. Kimsingi, kipengele...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Nafasi ya lugha sanifu katika jamii

Na MARY WANGARI LUGHA sanifu ni iliyosanifishwa kimatamshi, kisarufi, kimaana na kimaandishi ili iweze kutumika katika shughuli...