• Nairobi
  • Last Updated May 19th, 2024 9:01 PM

Wakenya wanaamini vyombo vya habari – Ripoti

Na WANDERI KAMAU WAKENYA wengi wanaviamini vyombo ya habari kwa kuangazia masuala muhimu yanayoikumba nchi, imeonyesha ripoti...

TAHARIRI: Afisa aliyedhulumu wanahabari akamatwe

NA MHARIRI MASHAMBULIZI dhidi ya wanahabari yameanza kuwa jambo la kawaida hapa nchini. Kila mtu anayehisi kubanwa hukimbilia...

Wanahabari wakejeli wahubiri wanaowatishia maisha kwa kuanika maovu yao

Na ANITA CHEPKOECH VYAMA vya waandishi habari nchini vimeelezea wasiwasi wake kuhusu ongezeko la visa vya viongozi wa kidini kuwatishia...

Wito raia kuwaripoti wanahabari wafisadi

NA CECIL ODONGO TUME ya kupokea malalamishi ya Baraza Kuu la Vyombo vya Habari nchini imewataka raia kupiga ripoti kwake kuhusu...

Wanahabari wavamiwa kwenye kesi ya aliyebaka mtoto wa waziri

Na MAGDALENE WANJA BARAZA la Wanahabari nchini (MCK) limetoa onyo kwa wanaowavamia wanahabari wakiwa kazini kuwa watakabiliwa na...

Wanahabari huru kuangazia kesi ya ufisadi inayokabili Kenya Power

Na RICHARD MUNGUTI JARIBIO la Mkurugenzi wa Uchunguzi (DCI) wa Jinai kuzima vyombo vya habari kuchapisha habari kuhusu kesi ya ununuzi...

MCK kuanzisha msako dhidi ya wanahabari bandia

Na COLLINS OMULO BARAZA la kusimamia sekta ya Uandishi wa Habari (MCK) limeelezea hofu yake kuhusu kuongezeka kwa watu wanaojifanya kuwa...

DHULUMA KWA WANAHABARI: Muthoki Mumo alivyoteswa na polisi wa Tanzania

Na PETER MBURU IMEBAINIKA kuwa polisi wa Tanzania walimtesa aliyekuwa mwanahabari wa Nation Media Group (NMG), Muthoki Mumo, wakati...

TAHARIRI: Wakati wa kuwalinda wanahabari ni sasa

NA MHARIRI KATIKA siku za hivi majuzi, visa vya kusikitisha ambapo wanahabari wamekuwa wakishambuliwa vimekithiri zaidi humu nchini....

Msaidizi wa gavana ndani kwa kuteka nyara mwanahabari wa NMG

Na JUSTUS OCHIENG MAAFISA wa DCI Jumanne walimkamata Msaidizi wa Kibinafsi wa Gavana wa Kaunti ya Migori Okoth Obado, Michael Oyamo,...

Wanahabari wa bungeni wachagua viongozi wapya

Na CHARLES WASONGA CHAMA cha wanahabari wanaoripoti masuala ya bungeni (KPJA) Ijumaa kiliandaa uchaguzi wa viongozi wake wapya ambapo...

Gavana akataza maafisa kuongea na wanahabari

Na Oscar Kakai GAVANA wa Kaunti ya Pokot Magharibi, Prof John Lonyangapuo amepiga marufuku vyombo vya habari kuangazia masuala ya...