• Nairobi
  • Last Updated May 8th, 2024 5:20 PM

WANTO WARUI: Kuzuia wanahabari shuleni kunaficha maovu

NA WANTO WARUI Hatua ya hivi juzi ya Wizara ya Elimu kupiga marufuku vyombo vya habari shuleni huenda ikasababisha hasara zaidi kuliko...

CMIL-Kenya yatoa mafunzo ya kuboresha uanahabari nchini

NA FAUSTINE NGILA Kituo cha Unahabari na Elimu ya Mawasiliano nchini (CMIL-Kenya) kimeshirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano nchini (CA)...

MUTUA: Serikali haijali maslahi ya raia ndani na nje ya nchi

Na DOUGLAS MUTUA MWANAHABARI Mkenya, Bw Yassin Juma, atapandishwa kizimbani nchini Ethiopia wiki ijayo kujibu mashtaka yanayoaminika...

Wanahabari 3 wa NMG watambuliwa na Rais

Na LUCY KILALO WANAHABARI watatu wa shirika la Nation Media Group, Nasibo Kabale, Vera Okeyo na Angela Oketch ni miongoni mwa watu...

Wanahabari 250 wamo jela kote duniani – Ripoti

Na MASHIRIKA MATAIFA ya Misri, Eritrea na Cameroon yanaongoza kwa kudhulumu wanahabari barani Afrika. Kulingana na ripoti ya Kamati...

Upinzani Bolivia wazima vituo vya habari vya serikali

NA AFP VIONGOZI wa upinzani nchini Bolivia Jumapili walivamia kituo cha runinga na kile cha redio, vyote vinavyomilikiwa na serikali na...

Uhuru wa wanahabari utiliwe mkazo Afrika – BBC

Na VALENTINE OBARA SHIRIKA la kimataifa la habari la BBC, Jumatano lilitoa wito kwa mashirika mengine ya habari Afrika kutilia mkazo...

Wamiliki vyombo vya habari waonywa dhidi ya kudunisha wanahabari kimalipo

Na JUMA NAMLOLA BARAZA la Vyombo vya Habari nchini (MCK) limewaonya wamiliki wa vyombo hivyo wanaowakandamiza wanahabari kimalipo kuwa...

Waajiri wahimizwa wafidie waandishi wanapovamiwa

Na WANDERI KAMAU ASASI za kusimamia waandishi wa habari nchini zimehimizwa kuhakikisha wanahabari wanalipwa ridhaa wanaposhambuliwa ama...

Wahariri waonya wanaodhuru wanahabari

Na KALUME KAZUNGU BODI ya wahariri wa Habari nchini (Editors Guild) imeonya vikali tabia ya baadhi ya watu kuwashambulia wanahabari...

Kamishna motoni kwa kuhangaisha wanahabari

Na WAIKWA MAINA BARAZA la Habari (MCK) limepuuzilia mbali agizo la Kamishna wa Kaunti ya Nyandarua, Bw Boaz Cherutich kwa vyombo vyote...

ONGAJI: Wakati wa vyombo vya habari vya Kiswahili kuzinduka ni sasa

Na PAULINE ONGAJI NINA uhakika kwamba umepata fursa ya kukutana na picha za kejeli mtandaoni almaarufu kama 'meme' wakati wowote...