• Nairobi
  • Last Updated May 19th, 2024 9:01 PM

UDAKU: Mtangazaji anayetamani kuwa mke wa pili

NA SINDA MATIKO KICHUNA mtangazaji na Mcee anayezidi kupata umaarufu mkubwa Azeezah Hashim, hana tatizo kuwa yaya kwa watoto wa mke mwenza, ili kumruhusu kufurahia muda na mume wao. Hii Azeezah anasema wala haiwezi kuwa ishu kwake endapo itatokea akaolewa kama mke wa pili. Wakati mabinti wengi wa umri wake wakiona ugumu wa kuolewa kuwa […]

‘Shosho’ mkulima anayetumia You-Tube kusaka soko la mazao

SAMMY WAWERU Na LABAAN SHABAAN MONICA Makokha mwenye umri wa miaka 56 angali na kumbukizi hai ya kuachwa na mume wake mpendwa katika umri mdogo mnamo 1994. Ni mtu anayethamini familia na tangu udogoni alimwomba Mungu ampe ndoa yenye furaha. Lakini kifo kilimpokonya mpenzi wa maisha yake akiwa na umri wa miaka 26. “Niliachwa na […]

Ubomoaji: Familia 1,000 zapoteza makao South B

NA SAMMY KIMATU ZAIDI ya familia 1,000 katika mitaa miwili ya mabanda katika tarafa ya South B, Kaunti ndogo ya Starehe wanakesha nje kwenye baridi kali baada ya serikali kubomoa makazi yao kufikia Alhamisi jioni. Akiongea na wanahabari wakati wa shughuli hiyo, Naibu Kamishna wa Kaunti-ndogo ya Starehe, Bw John Kisang, alisema hilo lilifanyika kwa […]

Mawaziri matatani kwa kufurusha wakazi wa mitaa ya mabanda

NA RICHARD MUNGUTI MAWAZIRI watatu wameshtakiwa na Shirika la Kutetea Haki za Binadamu nchini (KHRC) kwa kuwatimua wakazi wa mitaa ya mabanda ya Mukuru kwa Njenga, Mukuru kwa Reuben, Mathare na kijiji cha Mai Mahiu bila ya kuwapa makao. KHRC inaiomba Mahakama Kuu iwashurutishe mawaziri wa Usalama wa Ndani Prof Kithure Kindiki, Waziri wa Mazingira […]

Wafungwa wa kifungo cha nje kupanda miti Kilifi

NA MAUREEN ONGALA WAHALIFU wote katika Kaunti ya Kilifi watakaopewa adhabu ya kifungo cha nje kupitia idara ya urekebishaji tabia watalazimika kupanda miti ili kuongeza idadi ya misitu. Haya ni kulingana na kamishna wa Kaunti ya Kilifi Bw Josephat Biwott. Kulingana na Bw Biwott ni kuwa idara ya usalama Kaunti ya Kilifi imekubaliana na mahakama, […]

Limuru III yazaa muungano wa Haki

NA MWANGI MUIRURI WAANDALIZI wa Kongamano la Limuru III ambao ni wanasiasa kutoka Mlima Kenya wanaoegemea mrengo wa Azimio la Umoja-One Kenya Alliance, wametangaza kuzinduliwa kwa muungano wa kisiasa ambao utaunganisha vyama zaidi ya 30. Wakihutubu mnamo Ijumaa katika ukumbi wa Jumuia mjini Kiambu, wamesema kwamba kuanzia sasa, vyama hivyo vitakuwa vikiwajibikia Muungano wa Haki […]

Waititu: Mlima Kenya kutoa mgombea urais 2027

NA MWANGI MUIRURI ALIYEKUWA Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu amesema haoni faida ya watu wa Mlima Kenya kuunga mkono mtu kutoka nje ya eneo hilo kuwania urais. Akihutubu Ijumaa katika Kongamano la Limuru III, Bw Waititu alisema “ni lazima sisi na kura zetu zote tuwe tukisimama na mtu wetu hadi kwa debe”. “Mimi ninawaomba msamaha […]

Limuru III: Gathoni Wamuchomba adai Mswada wa Fedha 2024 ni janga

NA MWANGI MUIRURI MBUNGE wa Githunguri Bi Gathoni Wamuchomba amedai kwamba serikali ya Kenya Kwanza inayoongozwa na Rais William Ruto imefanya maisha kuwa magumu kwa watu wa eneo la Mlima Kenya. Akihutubu katika Kongamano la Limuru III mnamo Ijumaa, Bi Wamuchomba alidai serikali imefuta kazi watu 272 wa kutoka Mlimani. Alidai kwamba licha ya kumpa […]

Mafuriko bara yapeleka madhara Lamu kunakoshuhudiwa kiangazi

NA KALUME KAZUNGU LICHA ya Lamu kuendelea kushuhudia kiangazi kila mara, inaathiriwa vibaya na mvua kubwa na mafuriko yanayoshuhudiwa katika maeneo mengine ya Kenya, hasa bara. Hii ni kutokana na kwamba maji yanayomiminika kutoka nyanda hizo za juu yamekuwa yakishuhudiwa kutiririka hadi kufika Lamu kupitia Mto Tana. Hali hiyo imekuwa ikiacha baadhi ya vijiji na […]