• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 8:55 PM

Washukiwa wa NYS wanyimwa dhamana tena

Na RICHARD MUNGUTI WASHUKIWA wote41 wa sakata mpya ya shirika la huduma ya vijana kwa taifa NYS wanaodaiwa walifuja zaidi ya Sh9 bilioni...

Wabunge wamkemea Waiguru kuwatisha kwa kumhusisha na ufisadi NYS

Na CHARLES WASONGA Mbunge wa Shinyalu Justus Kizito amemkaripia Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru kwa kutisha kuwashtaki wabunge ambao...

Waiguru atisha kumshtaki Jicho Pevu kwa kumhusisha na wizi NYS

Na CHARLES WASONGA GAVANA wa Kirinyaga Anne Waiguru ametisha kumshtaki Mbunge wa Nyali Mohammed Ali kwa kumhusisha na sakata ya wizi wa...

Uamuzi kuhusu dhamana kwa washukiwa 47 wa NYS kutolewa Juni 19

Na RICHARD MUNGUTI WASHUKIWA wote 47 wanaoshtakiwa kwa sakata ya mamilioni ya pesa katika Shirika la Huduma ya Vijana kwa Taifa (NYS)...

SAKATA YA NYS: Wabunge wa Jubilee na Nasa wataka Waziri Kariuki ang’atuliwe

Na CHARLES WASONGA WABUNGE watano Alhamisi walimtaka Waziri wa Afya Bi Sicily Kariuki ajiuzulu la sivyo watamtimua afisini kuhusiana na...

SAKATA YA NYS: Washukiwa kusalia ndani hadi Juni 12

Na RICHARD MUNGUTI KIZINGITI kikuu kilikumba kesi dhidi ya washukiwa 46 wa sakata ya Shirika la Huduma ya Vijana kwa Taifa (NYS)...

Hatujatia chochote mdomoni tangu Jumapili, washukiwa wa ufisadi walia mahakamani

Na RICHARD MUNGUTI MAWAKILI  wa washukiwa 43 wa sakata ya Shirika la Huduma ya Vijana kwa Taifa (NYS) Jumanne walilalamika kuwa watazirai...

SAKATA YA NYS: Watuhumiwa zaidi wajisalimisha kwa polisi

Na SAM KIPLAGAT WASHUKIWA zaidi wa kashfa ya Shirika la Huduma ya Vijana kwa Taifa (NYS), Jumatano walijisalimisha kwa Idara ya...

SAKATA YA NYS: Washukiwa 24 kusalia ndani kwa siku 7

Na BENSON MATHEKA WASHUKIWA 24 wa sakata ya wizi wa mabilioni kutoka Shirika la Vijana wa Huduma kwa Taifa (NYS) watakaa seli kwa...

Tutatwaa mabilioni yote ya wizi, aahidi Uhuru

Na VALENTINE OBARA WASHUKIWA wa ufisadi watakaopatikana na hatia watapokonywa mali zote walizojizolea kutokana na uporaji wa mali ya...

SAKATA YA NYS: Mawakili wavuna vinono mahakamani

BENSON MATHEKA, VALENTINE OBARA na SAM KIPLAGAT MAWAKILI zaidi ya 15 wamepata nafasi ya kuvuna vinono kwa kuwakilisha washukiwa wa...

SAKATA YA NYS: Uhuru ategemea DCI, DPP kuliko tume ya EACC

Na BENSON MATHEKA RAIS Uhuru Kenyatta ameonekana kubadilisha mbinu za kupigana na ufisadi huku akihusisha Idara ya Upelelezi wa Jinai...