• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 7:00 PM

WASONGA: Mwanasheria Mkuu Kihara Kariuki afutwe kwa utepetevu

Na CHARLES WASONGA AFISI ya Mwanasheria Mkuu ni muhimu zaidi katika utendakazi wa serikali ya Kenya kwa sababu mshikilizi wa afisi hiyo...

ONYANGO: BBI: Hisia za wanasiasa zadhihirisha unafiki wao

Na LEONARD ONYANGO UAMUZI wa Mahakama Kuu iliyobatilisha Mswada wa Marekebisho ya Katiba 2020, almaarufu Mpango wa Maridhiano (BBI),...

WANGARI: Mitihani isiwe kipimo cha wanafunzi kufaulu au kufeli maishani

Na MARY WANGARI KWA muda sasa, tangu matokeo ya KCSE yalipotangazwa, vyombo vya habari vimekuwa vikiangazia shule zilizotia fora kwa...

WARUI: Elimu: Serikali itambue mchango wa shule za kibinafsi

Na WANTO WARUI MATOKEO ya mtihani wa kitaifa wa Kidato cha Nne, KCSE yaliyotangazwa juma lililopita yalizua hisia mbalimbali kwa watu...

WANYAMA: BBI: Uamuzi wa korti waweza kukosolewa

Na PETER WANYAMA MNAMO Mei 14, 2021, majaji watano wa Mahakama Kuu walitoa uamuzi wa pamoja wa kuzima Mswada wa Marekebisho ya Katiba wa...

MUTUA: Ndoa, talaka na fumbo linaloitwa mapenzi

Na DOUGLAS MUTUA KUMBE matatizo ya wanaume - na wanawake vile vile – ni mamoja kote duniani? Kumbe ndoa, ya kizungu au kiafrika, ni...

KAMAU: Rais Suluhu ni mwanga halisi kuikomboa Afrika Mashariki

Na WANDERI KAMAU NI wazi kuwa Rais Samia Suluhu wa Tanzania ndiye mwanga uliohitajika kufufua tena mshikamano uliokuwa umevurugika...

MATHEKA: Kanuni za kuzuia maambukizi ya corona shuleni zikazwe

Na BENSON MATHEKA SHULE zinapofunguliwa Jumatatu, kuna mambo kadhaa ambayo wadau wanafaa kutilia maanani kuzingatia kwa usalama wa...

WASONGA: Raila anaelekea kugeuza ODM chama cha kikabila

Na CHARLES WASONGA KUNG’ATULIWA kwa Mbunge wa Rarieda, wakili Otiende Amollo, kutoka wadhifa muhimu wa Naibu Mwenyekiti wa Kamati ya...

KAMAU: Ndoa: Waafrika wajifunze kutokana na Wazungu

Na WANDERI KAMAU CHANZO cha vifo vingi katika kizazi cha sasa ni ghasia zinazotokana na tofauti baina ya wanandoa. Kila siku imegeuka...

KINYUA BIN KING’ORI: Usawa wa kimaeneo utekelezwe tuachane na ukabila

Na KINYUA BIN KING'ORI MOJAWAPO ya manufaa makubwa ambayo Wakenya waliyatarajia kwa haraka kutokana na ujio wa katiba mpya ya 2010 ni...

WANGARI: Maslahi ya Wakenya wanaougua Ukimwi yasipuuzwe

Na MARY WANGARI ENDAPO kuna watu ambao wamegubikwa na taharuki katika siku za hivi majuzi, basi ni Wakenya 1.5 milioni wanaougua ukimwi...